I am a new comer, naombeni mnipokee Ndugu zangu

2d5c10bd12230e81ea90e6c224fc98e1.jpg
Unaish mkoa gani mkuu
 
Karibu sana Nickson,

Na hongera sana naona baba kakununulia simu na umejificha chumbani unaijaribu- natania.

Lakini ni muhimu kufahamu kwamba hapa si FB,Insta, Twitter wala WhatsApp ambako unaweka taarifa za kweli.

Kama unataka kuwa Verified User basi uwaambie JF, lakini kama unataka kuwa mchangiaji wa kujificha kama Richard basi ondoa picha halisi.

Huu ni ushauri wangu wa uhakika na ukiufuata wala hutajuta.

Vinginevyo karibu sana JF

Good luck.
 
Nashukuru Sana kwa ushauri Kaka....
 
Karib jf..hatuweki picha huku na wala hatuweki majina ya ukweli lakini ni marafik wa karib ever seen before..tunaunganishwa na hoja za msingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom