Huyu ndiye Sultan wa Mwisho wa Zanzibar

Huyo hakuongoza nchi , Aliyeongoza nchi ni Waziri Mkuu , Mpemba wa Ole ,Muhammed Shamte ambaye alitekwa na Nyerere na kufungwa kwenye jela za Tanganyika kwa zaidi ya miaka 10 bila kufikishwa mahakamani , na ndio ukaona Tanganyika hairuhusu Wazanzibari kuchagua kiongozi wao kwani imetekwa na Tanganyika
hii ni kweli na ni sharti Nyerere alipewa na waingereza
 
hii ni kweli na ni sharti Nyerere alipewa na waingereza
Na bara zaidi Muhammed Shamte alichaguliwa kwa halali chini ya tume huru ya uchaguzi , lakini wenye nguvu hawakupenda uchaguzi huru uendelee Zanzibar na Tanganyika wakatuletea chama cha kupindua matakwa ya watu chama cha Mapinduzi
 
Back
Top Bottom