Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,837
- 10,059
Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona anatamka kuwa hana mtu mbele ya hadhira baada ya kuona tabasamu la jibaba lenye miraba minne na kifriji cha kufutia smatifoni, jibaba lenye sifa ya kutafuna mbususu, ku cash na kuacha. Wanawake bhana😂
Subiri yachache tuone muafaka wake utakuwa ni upi😂😂😂
Subiri yachache tuone muafaka wake utakuwa ni upi😂😂😂