Huyu Ernest Massawe ni nani?

Mkuu, penye mikolezo umekosea. Hiyo kampuni inaitwa Ernst (sio Ernest) & Young (kwa sasa EY tu). Ni kampuni ya zamani sana ya Marekani/Uingereza. Huyo Massawe alifanya kazi sana huko ujanani kwake. Nadhani bado ni partner ila si mwanzilishi wa hiyo EY.
Nafahamu kuwa kampuni Ernst and Young ni multinational na ilianzishwa kitaambo sana,its a coincidence jamaa anaitwa Ernest Massawe na partner ni Ernst and Young,so alipokuwa partner ndo ikaitwa Massawe, Ernst and Young,hope ya gat ma point!
 
I do. Ila mwanzo bandiko lako ilikua kama vile yeye na huyo 'bwana Young' ndo walianzisha EY. Bora ulivyofafanua.
 
Back
Top Bottom