habari za tajiri muulize maskini
Erncon Holdings Limited is a Family Investment Company established by Mr. Ernest S. Massawe and his family. It was established in 1993 for the sole purpose of managing the familys various investment activities as well as holding the familys assets. The initial directors of the company are Mr. Ernest Massawe, Mrs. Consolata Massawe, Ms. Maryanne Massawe, Mr. Andrew Massawe and Mr. Justin Massawe.
To-date the company has experienced strong growth and has diversified a portfolio covering a number of sectors, including: Tourism, Industrial gases,Insurance, Assurance, Banking, Real Estate, Stock Broking, Fund Management, Leasing, Mining, Mining Services and Logistics Solutions, Transportation and Telecoms.
source: akiba commercial bank
Hapo swala Oil hii kampuni yake ina 20% (source: east african)
Mkuu shukrani sana kwa kuweka facts mleta mada aone jinsi anavyopotosha watu kwa nia anazozijua mwenyewe!
Hebu naombeni kumfahamu huyu jamaa anaitwa Ernest Massawe, mfanyabiashara wa kitanzania. Ndiyo mwenyekiti wa Swala Oil and Gas Tanzania. Inasemekana huyu jamaa ana makampuni mengi tu ya madini na kwamba ana ukaribu sana na watu wa system.
Hizo ni tetesi, hebu leteni ukweli wa mambo haya!
Erncon Holdings Limited is a Family Investment Company established by Mr. Ernest S. Massawe and his family. It was established in 1993 for the sole purpose of managing the familys various investment activities as well as holding the familys assets. The initial directors of the company are Mr. Ernest Massawe, Mrs. Consolata Massawe, Ms. Maryanne Massawe, Mr. Andrew Massawe and Mr. Justin Massawe.
To-date the company has experienced strong growth and has diversified a portfolio covering a number of sectors, including: Tourism, Industrial gases,Insurance, Assurance, Banking, Real Estate, Stock Broking, Fund Management, Leasing, Mining, Mining Services and Logistics Solutions, Transportation and Telecoms.
source: akiba commercial bank
Hapo swala Oil hii kampuni yake ina 20% (source: east african)
View attachment 125631
na wewe na ukongwe wote umenasa kwenye huu utoto wa weka picha??, aisee
Amepotoshaje mkuu??!!!
Mkuu huyu jamaa nasikia hata kumwona ni shida anamzigo wa kufa
una maanisha nini unaposema hata kumuona ni shida?
sasa mkuu kama unasema hata kumuona ni taabu nakuwa anamzigo wakufa mtu ,si inamana na yeye atakufa sasa kwani naye mtu pia,kamwanglie asijekuwa kashauliwa na huo mzigo wa kufa mtu jamani.Mkuu huyu jamaa nasikia hata kumwona ni shida anamzigo wa kufa
Tajiri anaonekana kizembe?mara yako ya mwisho kumwona manji ofisini kwake ni lini?
Mkuu hebu jaribu kusoma tena hiyo mada taratibu...utaona kweli kama nia ya mleta mada ni kumfahamu tu huyu ndugu Massawe.
sasa unaniuliza manji ananihusu nini?