Hainaga ushemeji
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 451
- 777
Mkuu huyu atakua kidume, jina halisi la mwenye hizo picha anaitwa erryca10( f*uck the spellings)- instragram
Mtoto flani makini ambaye hana hizo njaa, so basically huyo Anna kufungua tu akaunti na kua anaiba picha na kuziweka kwenye page yake( many cases nowadays)
So naomba msimuhukume mwenye picha moja kwa moja