Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,038
- 4,752
Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja.
Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama ambavyo Rais wa Ghana ameulizwa.
Rais wa Ghana ameshindwa kueleza kwa kauli moja kama nchi yake inapinga au inakubali. Sitegemea Rais Samia awe na kigugumizi kwenye hii hoja, nategemea majibu makavu yasiyo na chembe ya ukakasi.
Majibu yake yatatuma salam kwa taasisi zote zinazoratibu usodoma hapa nchini. Tuwe makini pia na wale watakaobeba mabango kudai Haki Yao ya jinsia moja. Tuwe makini na misaada tunayopewa