muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,078
- 13,450
Gwajima na Bushir wote walewale...
Ebu andika ukiwa umetulia...HAMUMCHUKI ndo Nini??????na huyu mzee wa upako alitabiria waandishi kufa..mbona hamumchuki?
Cannibal lakini ukianzisha mjadala kufikiri, kutafakari juu ya uwepo wa Mumgu unashambuliwa kuwa Mungu hataniwi. Mfano unajiuliza kama Adam na hawa walikuwa eden, weupe wakazaa uzao wao, sasa sisi weusi tulipatikanaje? Mbona tumekuwa localised sehemu moja? How didi we become localised in South of Sahara? , Kwa nini Mungu alitengeneza glycolysis, was he aware that he is creating glycolysis, respiration, digestion , DNA, RNA. Aliviumba kwa makusudi katika hicho kinachoitwa uumbaji wake? etc etc.Hata haina haja ya kuangalia hizo clip sababu ukimuangalia sura yake unajua huyu ni tapeli la kidini. Acha aendelee kuwadanganya Wavivu wa kufikiri na kutafakari..
Nilisikiliza Madai ya Askofu Gwajima Dhidi ya Tapeli mmoja aitwaye Prophet Bushiri. Jinsi ambavyo anatumiwa Kutabiri ati Lowassa atakufa.
Wasichojua watu wengi Ni kuwa Wengi wa wanaoitwa Watumishi wa Mungu, Kiasi kikubwa ni Mbwa mwitu Matapeli wa Kutisha.
Nitaweka Mambo Kadhaa ya Kitapeli anayofanya Bushiri. Mojawapo ni Kujifanya alitabiri kuhusu Tetemeko, hawa wanachofanya ni Kungojea Tukio kubwa linatokea, halafu wanatengeneza Video inayoweka sauti yake juu ya Video nyingine ya zamani kabla ya Tukio na Wanasuparimpose maneno mapya (lipsing) juu ya hiyo video ya zamani ili isikike kana kwamba alikuwa akitabiri Tukio hilo, ilihali katika video ya awali, alikuwa akiongelea mengine kabisa!
Mengine ni Kutengeneza Mazingaumbwe ya Michezo ya Kitoto mfano kama huu. Bushiri akijifanya anashusha moto toka mbinguni Kuchoma hirizi. Ukweli ni kuwa ameweka kemikali yenye kutoa moto na akaongezea kiberiti juu yake ili kikipata joto la kemikali kilipoke moto!
Angalia kwa makini.
Na hii Video nyingine anachukua Video ya Zamani ambayo watu walikuwa wakiomba, anaiedit na kusema wanaona Malaika halafu ukisikiliza jibu analopewa ni la mtu wa studio maana halaiki ya watu wale haikuwa naye wakati akiongeza hiyo sauti mpya na ukungu wa malaika.
Sasa Ukiona Mtu anaweza Kudanganya Maelfu ya Watu Kiasi hiki, Hata kuua mtu hatasita! Nimemsikia Katika Video Fulani akisema alimwombea Mchungaji mmoja afe, na akafa sasa, ni wazi Tapeli wa Aina hii anaweza hata kumtumia mtu Majambazi ili wamuue kisha ajidai Utabiri wake umetimia.
Gwajima asidanganyike Bushiri haombei afe, Bali Bushiri anaweza hata Kumtumia Majambazi! Gwajima.
Alimkosakosa Ufo wa ITV.na huyu mzee wa upako alitabiria waandishi kufa..mbona hamumchuki?

duh uko vizuri Kwakweli, jamaa anakwambia no one put the fire akadanganye wasiojua chemistryNo one put fire theree.watchhhh