madogo wanalia na kusaga meno kwa sasaMkuu usijali hao madogo hawana influence yoyote hapa nchini wala kwenye vyombo vya usalama , hawana ushawishi huo eti mpaka serikali au jeshi lije liwatoe kwa siri au kwa njama zozote kwa kifupi hao ndio yashawafika ,
Ungesema kwa Bi Fatma Kigondo ningekuelewa ila sio hao ni madogo tu ambao hakuna kitu kichwani
Kesi ya kubaka na kulawiti ni nyingine na kesi ya kutuma watu kubaka na kulawiti nyingineNchi hii imefikia uovu mkubwa sana na usiomithilika.
wamehukumiwa bado mnasema je wangeachiwa mngefanyaje maana hakuna kitu mngeweza kufanya hata wangeachiwa sasa wamefungwa bado mnaongea yaani hamna jema w
Tanzania is now a police state ; bunduki kila Kona!! Hawa Askari sio watu siku moja watakuja mgeuka mama Abdul!!Nchi hii imefikia uovu mkubwa sana na usiomithilika.
Kwa Mujibu wa hukumu ,Binti alihojiwa na jopo la waendesha mashtaka ,Je afande uliyemuomba msamaha ni nani? Binti akajibu ni boyfriend wake ambaye ni mwanajeshi alimuomba msamaha kwasababa binti alimcheat na mwanamme mwingine ,kwa majibu ya huyo Binti XY means Afande Fatuma kachomoka.Waziri aliulizwa kuhusu suala la Afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Kwani huyo binti alitembea na huyo afande? Inawezekana hata binti hamjui afandeHukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumbaka na kumlawiti binti wa Yombo Dovya ni Kiinimacho ambacho kimetumiwa na Serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo kwenda viral. Ndivyo inavyoonekana dhahiri shahiri!
Nasema hivi kwa sababu ukiangalia majibu yanayotolewa na viongozi wa serikali baada ya hukumu hii ya mchongo yanaashiria kuwa hukumu hii ni kiinimacho tu. Sababu zipo nyingi sana lakini nitazitaja chache kama mfano.
Mosi, Afande aliyehusika kuwatuma hawa wahuni kumbaka na kumlawiti binti wa watu bila huruma ameponyokaje? Binti alitakiwa kumuomba radhi Afande yupo. kwanini asingetoa ushahidi kumtia hatiani afande. Je, akiletwa mbele ya binti aliyefanyiwa ukatili, hawezi kumtambua? Anaweza. Sasa mzunguko huu wote na danadana za hapa na pale zinatoka wapi. Aidha, wale wahuni wangeminywa lazima wangesema ukweli na kesi ingeisha. Kwanini sasa kesi hii ya Afande inakuwa na mzunguko mrefu hivi?
Pili, kiasi cha pesa cha Tsh 1 million ambacho wamepigwa faini ni upuuzi mtupu. Mtu kafanyiwa ukatili na wanaume 5 halafu unakuja kuwatoza Tsh 1 million ni upumbavu. Mahakama zetu zina mambo ya kipimbi sana.
Tatu, wahuni waliomfanyia ukatili binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe?.
Nne, majibu ya kejeli yaliyotolewa na waziri Gwajima mitanfaoni baada ya kuulizwa na wananchi, yanaonesha kuna kitu kinafichwa. Waziri aliulizwa kuhusu suala la Afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Tano, kuna uwezekano hawa wafungwa wakaja kutolewa jela kwa msamaha wa rais baada ya kutumikia kifungo chao kwa miaka kadhaa. Au wanaweza kuja kuachiwa huru kimizengwe. Ushahidi wa hili ni kitendo cha serikali kuchelea kuwataja kwa vyeo vyao vya kijeshi wakati walipokamatwa na kuanza kushtakiwa na wananchi.
Aidha, kuna uwezekano hawa jamaa ni members wa kikundi cha utekaji. Kwamba kama taarifa zao zisinge-leak (vuja) mapema huenda wangemuua binti wa Dovya baada ya kumaliza kumbaka na kumlawiti.
MAONI YANGU
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Yaani raia wasiokuwa na hatia wanadhulumiwa haki zao za msingi, halafu wao wanaleta maigizo kwa kuwafunga kifungo cha mchongo. Ndio maana nchi haipati maendeleo kwa sababu imelaaniwa na Mungu.
Ni ka Malaya tu flaniKwa Mujibu wa hukumu ,Binti alihojiwa na jopo la waendesha mashtaka ,Je afande uliyemuomba msamaha ni nani? Binti akajibu ni boyfriend wake ambaye ni mwanajeshi alimuomba msamaha kwasababa binti alimcheat na mwanamme mwingine ,kwa majibu ya huyo Binti XY means Afande Fatuma kachomoka.
Nahisi hao wawili ambao bado wanatafutwa mmoja ni huyo aliyekuwa boyfriend wa huyo binti ambaye ni MJEDA na mbakaji mmoja ambaye alionekana kwenye clip.
Ndio hoja yenu ya msingiNchi imeshinda mzanzibari
Je evidence ya kuwatuma kubaka na kulawiti inaweza patikana pasi na shaka ?Kesi ya kubaka na kulawiti ni nyingine na kesi ya kutuma watu kubaka na kulawiti nyingine
issue ni kujirikodi na video kwenda viralMimi sitetei ufiraji na wafiraji siwatetei, ila hao jamaa bora waachiewe, na wataachiwa Inshaallah.
Kuna mafisadi wanakula bata uraiani na matatizo wanayosabibsha kwenye jamii yanazidi hayo ya maafande
Hukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumbaka na kumlawiti binti wa Yombo Dovya ni Kiinimacho ambacho kimetumiwa na Serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo kwenda viral. Ndivyo inavyoonekana dhahiri shahiri!
Nasema hivi kwa sababu ukiangalia majibu yanayotolewa na viongozi wa serikali baada ya hukumu hii ya mchongo yanaashiria kuwa hukumu hii ni kiinimacho tu. Sababu zipo nyingi sana lakini nitazitaja chache kama mfano.
Mosi, Afande aliyehusika kuwatuma hawa wahuni kumbaka na kumlawiti binti wa watu bila huruma ameponyokaje? Binti alitakiwa kumuomba radhi Afande yupo. kwanini asingetoa ushahidi kumtia hatiani afande. Je, akiletwa mbele ya binti aliyefanyiwa ukatili, hawezi kumtambua? Anaweza. Sasa mzunguko huu wote na danadana za hapa na pale zinatoka wapi. Aidha, wale wahuni wangeminywa lazima wangesema ukweli na kesi ingeisha. Kwanini sasa kesi hii ya Afande inakuwa na mzunguko mrefu hivi?
Pili, kiasi cha pesa cha Tsh 1 million ambacho wamepigwa faini ni upuuzi mtupu. Mtu kafanyiwa ukatili na wanaume 5 halafu unakuja kuwatoza Tsh 1 million ni upumbavu. Mahakama zetu zina mambo ya kipimbi sana.
Tatu, wahuni waliomfanyia ukatili binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe?.
Nne, majibu ya kejeli yaliyotolewa na waziri Gwajima mitanfaoni baada ya kuulizwa na wananchi, yanaonesha kuna kitu kinafichwa. Waziri aliulizwa kuhusu suala la Afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Tano, kuna uwezekano hawa wafungwa wakaja kutolewa jela kwa msamaha wa rais baada ya kutumikia kifungo chao kwa miaka kadhaa. Au wanaweza kuja kuachiwa huru kimizengwe. Ushahidi wa hili ni kitendo cha serikali kuchelea kuwataja kwa vyeo vyao vya kijeshi wakati walipokamatwa na kuanza kushtakiwa na wananchi.
Aidha, kuna uwezekano hawa jamaa ni members wa kikundi cha utekaji. Kwamba kama taarifa zao zisinge-leak (vuja) mapema huenda wangemuua binti wa Dovya baada ya kumaliza kumbaka na kumlawiti.
MAONI YANGU
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Yaani raia wasiokuwa na hatia wanadhulumiwa haki zao za msingi, halafu wao wanaleta maigizo kwa kuwafunga kifungo cha mchongo. Ndio maana nchi haipati maendeleo kwa sababu imelaaniwa na Mungu.
Hivi Sheria zetu ni kwajili ya watu wadogo/tabaka la chini?? Kwanini yule jamaa aliyesema " tukiwapoteza, tafadhali Polisi msiwatafute" yuko uraiani hata kuhojiwa tu hamna. Yule mama vyupa pamoja na yule jamaa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu wote wako uraiani. Yuko yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa W ya Longido aliyeweka wazi kuwa " walikuwa na kazi maalum huko maporini" nae anachekelea uraiani.Mkuu usijali hao madogo hawana influence yoyote hapa nchini wala kwenye vyombo vya usalama , hawana ushawishi huo eti mpaka serikali au jeshi lije liwatoe kwa siri au kwa njama zozote kwa kifupi hao ndio yashawafika ,
Ungesema kwa Bi Fatma Kigondo ningekuelewa ila sio hao ni madogo tu ambao hakuna kitu kichwani
Ukiambiwa upeleke ushahidi kuwa anahusika unao?Mimi hata sijashangaa nilisema tu nitakuja kukumbusha humu kama ilivyokuwa kwa issue ya Gekul.
Rostam hakusema kwa bahati mbaya mahakama zinaendeshwa kwa simu za order kutoka juu.
Haya file la afande Fatma Kigondo limewekwa kwenye ofisi ya DPP hapo haingiliwi maana yake anaweza kusema hana nia ya kuendelea na shauri hilo , matatizo ya haki na utawala bora kwa Tanzania yako kimfumo zaidi kuliko watu ndio maana tunasema bora ipatikane katiba mpya tuone mwanzo mpya utakuwaje ikiwemo rais kupunguziwa mamlaka.
Hivi unaamini kwa tuhuma zile za pesa za plea bargain mtu kama Biswalo alistahili kutolewa kwenye uDPP na kupelekwa kuwa jaji mahakama kuu badala ya kufunguliwa mashtaka?
Ushahidi wa kitu gani?Ukiambiwa upeleke ushahidi kuwa anahusika unao?