tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 23,582
- 21,646
- Thread starter
- #141
Ni hivi hayo makosa yote yangunganishwa, kila kosa lingetolewa hukumu yake na hukumu zote zingetekelezwa kwa pamoja (kifungo na faini)). Mkuu usietee dhuluma ambayo serikali ya CCM imemhujumu binti wa Yombo Dovya.Ipo hivi ukifanya kosa moja lakini wakati unatekeleza lile kosa ukavunja sheria ndogo ndogo nyingi hukumu utakayopata ni moja tu ile hukumu ya kosa kubwa zaidi, mfano katika hiyo kesi kosa kubwa lenye adhabu kubwa zaidi ni Gangrape ambayo hukumu ni kifungo cha maisha