balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,401
- 13,799
mkuu uliwahi kuf**a? hill neno umelitaja Mara nyingi Sana.Hukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumf**ira binti wa Yombo Dovya ni kiinimacho ambacho kimetumiwa na serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo kwenda viral. Ndivyo inavyoonekana dhahiri shahiri!
Nasema hivi kwa sababu ukoangalia majibu yanayotolewa na viongozi wa serikali baada ya hukumu hii ya mchongo yanaashiria kuwa hukumu hii ni kiinimacho tu. Sababu zipo nyingi sana lakini nitazitaja chache kama mfano.
Mosi, afande aliyehusika kuwatuma hawa wahuni kumf**ira binti wa watu bila huruma ameponyokaje? Binti aliyetakiwa kumuoba radhi afande yupo. Kwanini asingetoa ushahidi kumtia hatiani afande. Je, akiletwa mbele ya binti aliyefanyiwa ukatili, hawezi kumtambua? Anaweza. Sasa mzunguko huu wote na danadana za hapa na pale zinatoka wapi. Aidha, wale wafiraji wangeminywa pu**mbu laxima wangesema ukweli na kesi ingeisha. Kwanini sasa kesi hii ya afande inakuwa na mzunguko mrefu hivi?
Pili, kiasi cha pesa cha Tsh 1 million ambacho wafiraji wamepigwa faini ni upuuzi mtupu. Mtu kafi**rwa na wanaume 5 halafu unakuja kuwatoza Tsh 1 million ni upumbavu. Mahakama zetu zina mambo ya kipimbi sana.
Tatu, wahuni waliomf**ira binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe? Huu ni upimbi.
Nne, majibu ya kejeli yaliyotolewa na waziri Gwajima mitanfaoni baada ya kuulizwa na wananchi, yanaonesha kuna kitu kinafichwa. Waziri aliulizwa kuhusu suala la afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Tano, kuna uwezekano hawa wafungwa wakaja kutolewa jela kwa msamaha wa raisi baada ya kutumikia kifungo chao kwa miaka kadhaa. Au wanaweza kuja kuachiwa huru kimizengwe. Ushahidi wa hili ni kitendo cha serikali kuchelea kuwataja kwa vyeo vyao vya kijeshi wakati walipokamatwa na kuanza kushtakiwa na wananchi.
Aidha, kuna uwezekano hawa jamaa ni members wa kikundi cha utekaji. Kwamba kama taarifa zao zisingeleak mapema huenda wangemuua binti wa Dovya baada ya kumaliza kumf**ira.
MAONI YANGU
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Yaani raia wasiokuwa na hatia wanadhulumiwa haki zao za msingi, halafu wao wanaleta maigizo kwa kuwafunga kifungo cha mchongo. Ndio maana nchi haipati maendeleo kwa sababu imelaaniwa na Mungu.
Mahakama za kangaroo! bin ccm!Hukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumf**ira binti wa Yombo Dovya ni kiinimacho ambacho kimetumiwa na serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo kwenda viral. Ndivyo inavyoonekana dhahiri shahiri!
Nasema hivi kwa sababu ukoangalia majibu yanayotolewa na viongozi wa serikali baada ya hukumu hii ya mchongo yanaashiria kuwa hukumu hii ni kiinimacho tu. Sababu zipo nyingi sana lakini nitazitaja chache kama mfano.
Mosi, afande aliyehusika kuwatuma hawa wahuni kumf**ira binti wa watu bila huruma ameponyokaje? Binti aliyetakiwa kumuoba radhi afande yupo. Kwanini asingetoa ushahidi kumtia hatiani afande. Je, akiletwa mbele ya binti aliyefanyiwa ukatili, hawezi kumtambua? Anaweza. Sasa mzunguko huu wote na danadana za hapa na pale zinatoka wapi. Aidha, wale wafiraji wangeminywa pu**mbu laxima wangesema ukweli na kesi ingeisha. Kwanini sasa kesi hii ya afande inakuwa na mzunguko mrefu hivi?
Pili, kiasi cha pesa cha Tsh 1 million ambacho wafiraji wamepigwa faini ni upuuzi mtupu. Mtu kafi**rwa na wanaume 5 halafu unakuja kuwatoza Tsh 1 million ni upumbavu. Mahakama zetu zina mambo ya kipimbi sana.
Tatu, wahuni waliomf**ira binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe? Huu ni upimbi.
Nne, majibu ya kejeli yaliyotolewa na waziri Gwajima mitanfaoni baada ya kuulizwa na wananchi, yanaonesha kuna kitu kinafichwa. Waziri aliulizwa kuhusu suala la afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Tano, kuna uwezekano hawa wafungwa wakaja kutolewa jela kwa msamaha wa raisi baada ya kutumikia kifungo chao kwa miaka kadhaa. Au wanaweza kuja kuachiwa huru kimizengwe. Ushahidi wa hili ni kitendo cha serikali kuchelea kuwataja kwa vyeo vyao vya kijeshi wakati walipokamatwa na kuanza kushtakiwa na wananchi.
Aidha, kuna uwezekano hawa jamaa ni members wa kikundi cha utekaji. Kwamba kama taarifa zao zisingeleak mapema huenda wangemuua binti wa Dovya baada ya kumaliza kumf**ira.
MAONI YANGU
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Yaani raia wasiokuwa na hatia wanadhulumiwa haki zao za msingi, halafu wao wanaleta maigizo kwa kuwafunga kifungo cha mchongo. Ndio maana nchi haipati maendeleo kwa sababu imelaaniwa na Mungu.
Tatu, wahuni waliomf**ira binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe? Huu ni upimbi.😳😳😳Hukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumf**ira binti wa Yombo Dovya ni kiinimacho ambacho kimetumiwa na serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo kwenda viral. Ndivyo inavyoonekana dhahiri shahiri!
Nasema hivi kwa sababu ukoangalia majibu yanayotolewa na viongozi wa serikali baada ya hukumu hii ya mchongo yanaashiria kuwa hukumu hii ni kiinimacho tu. Sababu zipo nyingi sana lakini nitazitaja chache kama mfano.
Mosi, afande aliyehusika kuwatuma hawa wahuni kumf**ira binti wa watu bila huruma ameponyokaje? Binti aliyetakiwa kumuoba radhi afande yupo. Kwanini asingetoa ushahidi kumtia hatiani afande. Je, akiletwa mbele ya binti aliyefanyiwa ukatili, hawezi kumtambua? Anaweza. Sasa mzunguko huu wote na danadana za hapa na pale zinatoka wapi. Aidha, wale wafiraji wangeminywa pu**mbu laxima wangesema ukweli na kesi ingeisha. Kwanini sasa kesi hii ya afande inakuwa na mzunguko mrefu hivi?
Pili, kiasi cha pesa cha Tsh 1 million ambacho wafiraji wamepigwa faini ni upuuzi mtupu. Mtu kafi**rwa na wanaume 5 halafu unakuja kuwatoza Tsh 1 million ni upumbavu. Mahakama zetu zina mambo ya kipimbi sana.
Tatu, wahuni waliomf**ira binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe? Huu ni upimbi.
Nne, majibu ya kejeli yaliyotolewa na waziri Gwajima mitanfaoni baada ya kuulizwa na wananchi, yanaonesha kuna kitu kinafichwa. Waziri aliulizwa kuhusu suala la afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Tano, kuna uwezekano hawa wafungwa wakaja kutolewa jela kwa msamaha wa raisi baada ya kutumikia kifungo chao kwa miaka kadhaa. Au wanaweza kuja kuachiwa huru kimizengwe. Ushahidi wa hili ni kitendo cha serikali kuchelea kuwataja kwa vyeo vyao vya kijeshi wakati walipokamatwa na kuanza kushtakiwa na wananchi.
Aidha, kuna uwezekano hawa jamaa ni members wa kikundi cha utekaji. Kwamba kama taarifa zao zisingeleak mapema huenda wangemuua binti wa Dovya baada ya kumaliza kumf**ira.
MAONI YANGU
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Yaani raia wasiokuwa na hatia wanadhulumiwa haki zao za msingi, halafu wao wanaleta maigizo kwa kuwafunga kifungo cha mchongo. Ndio maana nchi haipati maendeleo kwa sababu imelaaniwa na Mungu.
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana mkuu. Huwezi kuamini ujinga huu unaondelea hapa nchini.Tatu, wahuni waliomf**ira binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe? Huu ni upimbi.😳😳😳
Subiri siku wakiaachiwa kwa mchongo ndiyo uje ulete Malalamiko yako,kwa sasa tunaweza sema hizi ni hisia zako tu zinakutuma kuwaza hivyo!!Hukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumbaka na kumlawiti binti wa Yombo Dovya ni Kiinimacho ambacho kimetumiwa na Serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo kwenda viral. Ndivyo inavyoonekana dhahiri shahiri!
Nasema hivi kwa sababu ukiangalia majibu yanayotolewa na viongozi wa serikali baada ya hukumu hii ya mchongo yanaashiria kuwa hukumu hii ni kiinimacho tu. Sababu zipo nyingi sana lakini nitazitaja chache kama mfano.
Mosi, Afande aliyehusika kuwatuma hawa wahuni kumbaka na kumlawiti binti wa watu bila huruma ameponyokaje? Binti alitakiwa kumuomba radhi Afande yupo. kwanini asingetoa ushahidi kumtia hatiani afande. Je, akiletwa mbele ya binti aliyefanyiwa ukatili, hawezi kumtambua? Anaweza. Sasa mzunguko huu wote na danadana za hapa na pale zinatoka wapi. Aidha, wale wahuni wangeminywa lazima wangesema ukweli na kesi ingeisha. Kwanini sasa kesi hii ya Afande inakuwa na mzunguko mrefu hivi?
Pili, kiasi cha pesa cha Tsh 1 million ambacho wamepigwa faini ni upuuzi mtupu. Mtu kafanyiwa ukatili na wanaume 5 halafu unakuja kuwatoza Tsh 1 million ni upumbavu. Mahakama zetu zina mambo ya kipimbi sana.
Tatu, wahuni waliomfanyia ukatili binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe?.
Nne, majibu ya kejeli yaliyotolewa na waziri Gwajima mitanfaoni baada ya kuulizwa na wananchi, yanaonesha kuna kitu kinafichwa. Waziri aliulizwa kuhusu suala la Afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Tano, kuna uwezekano hawa wafungwa wakaja kutolewa jela kwa msamaha wa rais baada ya kutumikia kifungo chao kwa miaka kadhaa. Au wanaweza kuja kuachiwa huru kimizengwe. Ushahidi wa hili ni kitendo cha serikali kuchelea kuwataja kwa vyeo vyao vya kijeshi wakati walipokamatwa na kuanza kushtakiwa na wananchi.
Aidha, kuna uwezekano hawa jamaa ni members wa kikundi cha utekaji. Kwamba kama taarifa zao zisinge-leak (vuja) mapema huenda wangemuua binti wa Dovya baada ya kumaliza kumbaka na kumlawiti.
MAONI YANGU
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Yaani raia wasiokuwa na hatia wanadhulumiwa haki zao za msingi, halafu wao wanaleta maigizo kwa kuwafunga kifungo cha mchongo. Ndio maana nchi haipati maendeleo kwa sababu imelaaniwa na Mungu.
Weka ushahidi usio achaa shaka ili tukuamini unachosema!!Ni ukweli kabisa mkuu. Nchi hii ina sinema nyingi sana. Inasemekana hata yule askari aliyemuua Daudi Mwangosi ameishaachiwa huru yupo uraiani anakula bata kama kawaida.
Kukata rufaa ni haki yao kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaBaada ya miaka michache kuanzia sasa watakata tufaa na kushinda. Na kama mimi naongea uongo; subiri uone. This is Tanzania bhana.
Sijaona hoja ndugu.Hukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumbaka na kumlawiti binti wa Yombo Dovya ni Kiinimacho ambacho kimetumiwa na Serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo kwenda viral. Ndivyo inavyoonekana dhahiri shahiri!
Nasema hivi kwa sababu ukiangalia majibu yanayotolewa na viongozi wa serikali baada ya hukumu hii ya mchongo yanaashiria kuwa hukumu hii ni kiinimacho tu. Sababu zipo nyingi sana lakini nitazitaja chache kama mfano.
Mosi, Afande aliyehusika kuwatuma hawa wahuni kumbaka na kumlawiti binti wa watu bila huruma ameponyokaje? Binti alitakiwa kumuomba radhi Afande yupo. kwanini asingetoa ushahidi kumtia hatiani afande. Je, akiletwa mbele ya binti aliyefanyiwa ukatili, hawezi kumtambua? Anaweza. Sasa mzunguko huu wote na danadana za hapa na pale zinatoka wapi. Aidha, wale wahuni wangeminywa lazima wangesema ukweli na kesi ingeisha. Kwanini sasa kesi hii ya Afande inakuwa na mzunguko mrefu hivi?
Pili, kiasi cha pesa cha Tsh 1 million ambacho wamepigwa faini ni upuuzi mtupu. Mtu kafanyiwa ukatili na wanaume 5 halafu unakuja kuwatoza Tsh 1 million ni upumbavu. Mahakama zetu zina mambo ya kipimbi sana.
Tatu, wahuni waliomfanyia ukatili binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe?.
Nne, majibu ya kejeli yaliyotolewa na waziri Gwajima mitanfaoni baada ya kuulizwa na wananchi, yanaonesha kuna kitu kinafichwa. Waziri aliulizwa kuhusu suala la Afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Tano, kuna uwezekano hawa wafungwa wakaja kutolewa jela kwa msamaha wa rais baada ya kutumikia kifungo chao kwa miaka kadhaa. Au wanaweza kuja kuachiwa huru kimizengwe. Ushahidi wa hili ni kitendo cha serikali kuchelea kuwataja kwa vyeo vyao vya kijeshi wakati walipokamatwa na kuanza kushtakiwa na wananchi.
Aidha, kuna uwezekano hawa jamaa ni members wa kikundi cha utekaji. Kwamba kama taarifa zao zisinge-leak (vuja) mapema huenda wangemuua binti wa Dovya baada ya kumaliza kumbaka na kumlawiti.
MAONI YANGU
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Yaani raia wasiokuwa na hatia wanadhulumiwa haki zao za msingi, halafu wao wanaleta maigizo kwa kuwafunga kifungo cha mchongo. Ndio maana nchi haipati maendeleo kwa sababu imelaaniwa na Mungu.
Ukisema hivi ni sawa na kuhalalalisha au kudogosha unyama na uhuni aliofanyiwa yule binti.Mimi sitetei ufiraji na wafiraji siwatetei, ila hao jamaa bora waachiewe, na wataachiwa Inshaallah.
Kuna mafisadi wanakula bata uraiani na matatizo wanayosabibsha kwenye jamii yanazidi hayo ya maafande
Kwa mfano waziri alitakiwa ajibu nini mkuu!Hukumu ya kifungo cha maisha kwa wahuni waliotumwa na afande kumbaka na kumlawiti binti wa Yombo Dovya ni Kiinimacho ambacho kimetumiwa na Serikali kuwapiga changa wananchi baada ya suala hilo kwenda viral. Ndivyo inavyoonekana dhahiri shahiri!
Nasema hivi kwa sababu ukiangalia majibu yanayotolewa na viongozi wa serikali baada ya hukumu hii ya mchongo yanaashiria kuwa hukumu hii ni kiinimacho tu. Sababu zipo nyingi sana lakini nitazitaja chache kama mfano.
Mosi, Afande aliyehusika kuwatuma hawa wahuni kumbaka na kumlawiti binti wa watu bila huruma ameponyokaje? Binti alitakiwa kumuomba radhi Afande yupo. kwanini asingetoa ushahidi kumtia hatiani afande. Je, akiletwa mbele ya binti aliyefanyiwa ukatili, hawezi kumtambua? Anaweza. Sasa mzunguko huu wote na danadana za hapa na pale zinatoka wapi. Aidha, wale wahuni wangeminywa lazima wangesema ukweli na kesi ingeisha. Kwanini sasa kesi hii ya Afande inakuwa na mzunguko mrefu hivi?
Pili, kiasi cha pesa cha Tsh 1 million ambacho wamepigwa faini ni upuuzi mtupu. Mtu kafanyiwa ukatili na wanaume 5 halafu unakuja kuwatoza Tsh 1 million ni upumbavu. Mahakama zetu zina mambo ya kipimbi sana.
Tatu, wahuni waliomfanyia ukatili binti wa watu walikuwa 6. Je, kwanini wahuni wawili waliosalia wanafichwa hadi sasa na hawatajwi? Wana ukubwa kiasi gani hadi wafichwe?.
Nne, majibu ya kejeli yaliyotolewa na waziri Gwajima mitanfaoni baada ya kuulizwa na wananchi, yanaonesha kuna kitu kinafichwa. Waziri aliulizwa kuhusu suala la Afande, badala ya kuweka msimamo wa kitaalamu akaishia kumtetea na kuwakejeli waliomuuliza swali. This is rubbish.
Tano, kuna uwezekano hawa wafungwa wakaja kutolewa jela kwa msamaha wa rais baada ya kutumikia kifungo chao kwa miaka kadhaa. Au wanaweza kuja kuachiwa huru kimizengwe. Ushahidi wa hili ni kitendo cha serikali kuchelea kuwataja kwa vyeo vyao vya kijeshi wakati walipokamatwa na kuanza kushtakiwa na wananchi.
Aidha, kuna uwezekano hawa jamaa ni members wa kikundi cha utekaji. Kwamba kama taarifa zao zisinge-leak (vuja) mapema huenda wangemuua binti wa Dovya baada ya kumaliza kumbaka na kumlawiti.
MAONI YANGU
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Yaani raia wasiokuwa na hatia wanadhulumiwa haki zao za msingi, halafu wao wanaleta maigizo kwa kuwafunga kifungo cha mchongo. Ndio maana nchi haipati maendeleo kwa sababu imelaaniwa na Mungu.
Kwa kuwa waliyoyafanya mbele ya Mungu wako na mbele ya jamii kwako ni sawa si ndio?Mimi sitetei ufiraji na wafiraji siwatetei, ila hao jamaa bora waachiewe, na wataachiwa Inshaallah.
Kuna mafisadi wanakula bata uraiani na matatizo wanayosabibsha kwenye jamii yanazidi hayo ya maafande
Mungu wangu yuko wapi? Unamjua Mungu wangu?Kwa kuwa waliyoyafanya mbele ya Mungu wako na mbele ya jamii kwako ni sawa si ndio?
Hebu amini basi ninachokueleza wale hamna lolote nje ya uaskari wao hawana lolote msikuze mambo hawana cha wasiojulikana wala nini madogo empty head tu haoMkuu nchi hii ina mambo ya ajabu sana. Ukute hawa wapo kwenye kikundi cha watekaji. Ni kwa kuwa tu walijichanganya wakajulikana ndio maana wameachwa walipe gharama za uzembe wao. Kwa kawaida, wsnatakiwa wafanye mambo yao kwa siri sana. Ukibainika ukajulikana utapewa adhabu kidogo kisha utaachiwa. Unakumbuka hata yule TISS aliyemtiolea Nape bastola alipewa adhabu ya kutupwa huko porini kama adhabu na baada ya muda akarudishwa mjijni.
Hata hawa jamaa watafungwa walau miezi 6, kisha wataachiwa kwa siri. Wanachofanya wanajifanya wanawahamisha gereza. Wakifika njiani wanawaachia huru na kurudi uraiani.
Hii nchi ina mambo ya kikwuma sana.