Huko tuendako mh.sana atapunguza kuonekana hadharani

Eh nyie huyo mnayemsema hivyo kawakosea nini?Mbona anaenda vizuri tu.Kuweni na subira kidogo.
 
Labda mlitakaje nyie??? Aendelee kuongea au kuonekana onekana sana au upige kimya,,akija akisema kauli zilizonyooka hamtachelewa kurud hapa na maandiko ya kumlaumu,,,so tuambien mnataka nn kwani?
Tunajua anapenda kuonekana live ila sasa atalazimika kupotea hewani unless awe mtu asie na aibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom