Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,778
- 7,594
Umeona eh!Ngoma hii wala hata haikuvuma mkuu , hii imedorora tangu ianze , Dhuluma malipo yake ni mabaya sana .
Umeona eh!Ngoma hii wala hata haikuvuma mkuu , hii imedorora tangu ianze , Dhuluma malipo yake ni mabaya sana .
ThubutuVipi kupiga simu mubashara klaudzmedia...
Haya ni maoni yako unaweza kumuhadithia hata baba yako au girl friend wako ....ama ukahadithia kijiweni kama unavyofanya hapa yatabaki kuwa ni maoni yako ....na mtizamo wako mwembambaHata mimi naziona dalili za mh.sana kupunguza vijembe na kejeli. Confidence yake wateule wake ime-wane sana. Nina imani anasoma na kusikia mengi kumhusu "mungu" wa dar na kwa hekima yake hafurahishwi. Anaona jinsi TAL anavyoujongelea upresidaa wa TLS huku akijua kuwa hana namna ya kumzuia. Anaona jinsi DPP anavyoanza kulaumiwa juu udhalimu wake katika kesi ya Lema. Anaona jinsi amvavyo vita dhidi ya madawa ya kulevya ilivyoshindwa kabla ya kuanza kwa ajili ya uzembe wa mteule mkurupukaji na hana jinsi maana ni kipenzi. Anaona jinsi ambavyo ndoto ya Tanzania ya viwada inaendelea kuwa ndoto na hafurahishi sana na hilo. Anaona jinsi ambavyo uchumi unadorora, njaa inajongelea na hana ujasiri wa kukiri ukweli na inamuumiza sana.
Labda wakati ndo umeanza kusema kama wengi wetu tulivyotabiri.
Umeandika kama kujichua tu kuifurahisha akili na nafsi yako tu lakini ujumbe umeupata, kaugulie!Haya ni maoni yako unaweza kumuhadithia hata baba yako au girl friend wako ....ama ukahadithia kijiweni kama unavyofanya hapa yatabaki kuwa ni maoni yako ....na mtizamo wako mwembamba
Hata mimi naziona dalili za mh.sana kupunguza vijembe na kejeli. Confidence yake wateule wake ime-wane sana. Nina imani anasoma na kusikia mengi kumhusu "mungu" wa dar na kwa hekima yake hafurahishwi. Anaona jinsi TAL anavyoujongelea upresidaa wa TLS huku akijua kuwa hana namna ya kumzuia. Anaona jinsi DPP anavyoanza kulaumiwa juu udhalimu wake katika kesi ya Lema. Anaona jinsi amvavyo vita dhidi ya madawa ya kulevya ilivyoshindwa kabla ya kuanza kwa ajili ya uzembe wa mteule mkurupukaji na hana jinsi maana ni kipenzi. Anaona jinsi ambavyo ndoto ya Tanzania ya viwada inaendelea kuwa ndoto na hafurahishi sana na hilo. Anaona jinsi ambavyo uchumi unadorora, njaa inajongelea na hana ujasiri wa kukiri ukweli na inamuumiza sana.
Labda wakati ndo umeanza kusema kama wengi wetu tulivyotabiri.
Namba za kusoma zimeisha, sasa tunaona rangi na giza. Madudu, orodha imekuwa ndefu mno. Utamwambia nani wewe unasimamia uadilifu wakati:
- RC amepokea rushwa ya ardhi kwa niaba ya serikali umemwacha
-RC ana vyeti vya kugushi wakati maelfu wamefukuzwa kazi kwa kosa hilo hilo
-Njaa inaua watu na yeye yuko kimya
-Fedha ya wahanga wa tetemeko umeitumia kama ya serikali - uadilifu uko wapi?
-Halmashauri za Wilaya nne nchi nzima, ushindi wa mameya wa upinzani umeporwa kwa ruhusa yake (hata Mungu hapendi double standards)
-Polisi wanaohusishwa na madawa ya kulevya wafanywa siri, lakini wanasiasa na viongozi wa dini wanatangazwa hadharani
-Zanzibar ni dhuluma tupu mbele ya rais anayedai ni mwadilifu na ameanzisha viapo vya maadili
-Aliapa kutowahamisha walioboronga, sasa anawarejesha karibu wote kina Blandina Nyoni
-Mikopo ya vyuo vikuu hakuna wakati alikejeli awamu ya pili kwa kuhoji, mikopo unamnyimaje mtu?
-Vyeo havijapanda, ajira hazipo, makato ya bodi yanavunja sheria ya utumishi, n.k.
-Vijana wanasumbuliwa kwa sheria mbovu ya mitandao
-Machinga walidanganywa sasa wanawindwa kama ngedere
-Wawekezaji wanaondoka wakati Waziri wa Viwanda anadai TZ ya viwanda yaja
-Biashara zinafungwa badala ya kuongeza mpya
Haya hayawezi kumfanya mtu asimame na kufoka tena hadharani labda aje ameweka wisky kidogo.
Mungu hamfichi........Kwa taarifa yako utekelezaji umeisha anza , leo sijamuona Tv yoyote , hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Mungu kawachoka na sasa kaamua kuwaumbua. Wataendekea kuumbuka kila kukicha.Mkuu hata JK alianza hivihivi, alianza kupoteza muelekeo pale aliposema eti wezi wa EPA warudishe hela kisha atawasamehe. Hapo alipoanza kujigeuza ndio hakimu wa mali ya umma ndio mambo yalipoanza. Huyu wa sasa alianza na mikwara kibao mara kutumbua na wengine aliwatumbua hadi mauti kuwakuta na aliyemchongea huyo marehemu sasa hivi ndio anapambana na wauza unga kwa style ya kama kutangaza miss Dar wajitokeze kwenye shindano. Kama hilo halitoshi naye ana tuhuma ya kugushi cheti tena ni zoezi la kitaifa lililofukuza watu kwenye ajira, saa hii kuna jingine kubwa, nyuma ya hao wanaolalamikiwa kuwa wanajihusisha na unga ndio hao wamempa kiwanja kwa utapeli na waziri mwenye dhamana katangaza. Hao wafadhili wa hiyo ardhi wana tuhuma kibao na utetezi wake ni eti watu wana chuki naye kisa madawa. Kuna siku niliwahi kusema hapa huyo kijana anamuingiza mkuu mjini bila mkuu kujijua. Kwa kuanzia hili la ardhi linaanza kufunua yale mkuu anayoyafumbia macho kwa kumuona huyo kijana yuko sawa bali mahasimu wake tu ndo wanaomuharibia.
Lizabon yupo busy anatunga uongo apeleke kwa Makonda ili akapate pesa za kusumbua watu JFWakina Lizabon wangekuwa wajanja sasa hivi ndio muda wakupiga hela za GSM mitandaoni ,maana Lumumba kuna watu wanahitaji sana hii huduma ya kujisafisha
Bavicha mnapenda Magufuli... Asipoonekana mnalalamika Mara hamtaki kumsikiliza hotuba zake Kumbe kimya kimya wote mnavizia runinga akiwa anahutubia...na runinga wenyewe ni TBC ambayo kila siku mnawatukana...upinzani mdebwedo!Hata kale kautaratibu kake ka hata tukio dogo tu kurushwa live tunaweza tusikaone tena.
Hata zile hotuba zake za kujifanya yuko serious na mkali muda wote zinaweza kuanza kupungua maana huwezi tena kukemea na kusulubu wengine wakati kuna ambao unawalinda.
Kweli muda ndio kiboko yao na mbio za sakafuni huishia ukingoni.