Hotuba ya Tundu Lissu kwa Taifa yasubiriwa kwa hamu kubwa na Wananchi, Matumaini yatawala, Wachache waingiwa hofu

Kwa mara ya Kwanza tangu Uhuru wa Tanganyika, Nimeshuhudia watu wengi wakihangaika huku na kule ili kukamilisha kazi zao mapema kwa lengo la kuwahi Hotuba ya kiongozi wa Upinzani.

Maofisi ya Serikali ndio yanayoongoza kuhangaika huku baadhi ya Wafanyakazi wakipanga kutoroka ili kuwahi Hotuba hiyo inayotajwa kutoa Mwongozo na Dira ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.

Pamoja na Msisimko huo lakini lipo kundi dogo miongoni mwa Wananchi lililojawa hofu na wasiwasi kuhusiana na kitakachozungumzwa, Uchunguzi wetu umebaini kwamba kundi hilo dogo ni pamoja na familia za viongozi wakiwemo na Mashemeji zao walioko mkabala na Chawa wao, Bali haijajulikana hofu yao hiyo inatokana na nini.

Ngoja Tusubiri saa 10 jioni kwa saa za Nchini Tanzania.
Hana uwezo wa kuhutubia Taifa, bali anachoweza ni kuwahutubia wana CHADEMA. WACHA kumpa umuhimu asiokuwa nao
 
Kwa mara ya Kwanza tangu Uhuru wa Tanganyika, Nimeshuhudia watu wengi wakihangaika huku na kule ili kukamilisha kazi zao mapema kwa lengo la kuwahi Hotuba ya kiongozi wa Upinzani.

Maofisi ya Serikali ndio yanayoongoza kuhangaika huku baadhi ya Wafanyakazi wakipanga kutoroka ili kuwahi Hotuba hiyo inayotajwa kutoa Mwongozo na Dira ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.

Pamoja na Msisimko huo lakini lipo kundi dogo miongoni mwa Wananchi lililojawa hofu na wasiwasi kuhusiana na kitakachozungumzwa, Uchunguzi wetu umebaini kwamba kundi hilo dogo ni pamoja na familia za viongozi wakiwemo na Mashemeji zao walioko mkabala na Chawa wao, Bali haijajulikana hofu yao hiyo inatokana na nini.

Ngoja Tusubiri saa 10 jioni kwa saa za Nchini Tanzania.
Propaganda za kizamani sana enzi za Waziri Mohammed Saeed al-Sahhaf wa Saddam Hussein!
 
Taifa lenu wanywa Whisky huku mkiwa na kihoro.

Ukitaka kujua atakuwa anahutubia Taifa lenu, akianza tu kuongea wewe na wenzio kina Lucas Mwashambwa , Lusungo Malaria 2 ChoiceVariable na wengineo mtaanza kuweka mabango ya kuchambua hotuba hiyo.

Mnajifanya haiwahusu kumbe na kijiwe Cha kwenda kuisililizia hiyo hotuba mshachagua.
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe. Hakuna Mwenye habari na huyo Mropokaji. ukitaka kujua kuwa watu hawana muda na huyo Mropokaji jaribu kuangalia hata humu tu jukwaani uone namna habari zake zisivyo na mvuto wala kuteka hisia za watu
 
Back
Top Bottom