Hoteli ya JB Belmont yafungwa rasmi kutokana na ukata

Ubanaji matumizi ni jambo zuri lakini inafaa ufanywe kwa uangalifu, maona hii itakuwa vice versa serikali pia itakosa mapato kutoka kwenye hotel na biashara zingine sababu sekta binafsi watashindwa kupata mapato ya kuweza kulipa kodi serikalini.
 
Hali imeelendelea kuwa mbaya na kusababisha purchasing power miongoni mwa jamii kushuka na kupelekea baadhi ya biashara kufungwa.

Hotel kubwa jijini Mwanza katika jengo la NSSF katikati ya jiji la Mwanza nayo yafungwa rasmi.

Haya ndio yaliotokea mtaani kwangu sasa sijui mtaani kwako.
Usitake kupotosha watu as if wanaosoma post yako wote ni Nyumbu.

Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo Hotel imefungwa kwa sababu za kiutawala kwa sababu tangu afariki mmiliki, kamuni imeyumba kimenejiment pamoja na kushindwa kuhimili ushindani kutoka kwa Hotel nyingine za Mwanza ambazo ni nzuri na zina bei nafuu.
 
Wewe ndio umeona leo hii hotel kitambo sana imefungwa sema wewe umekuja leo kutoka kijijini kwenu na umekuja umekariri
Labla kama hizi hotel zipo nyingi, uhuru road iliyopo hii hotel ninayoisema wiki iliyopita tu ilikuwa wazi nami napita hapa kila siku nikitoka ofisini imefugwa haina siku tano na ukipita utaona TANGAZO na tarehe lilipoandikwa. KAMA HUJAELEWA OMBA UELEWESHWE.
 
Usitake kupotosha watu as if wanaosoma post yako wote ni Nyumbu.

Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo Hotel imefungwa kwa sababu za kiutawala kwa sababu tangu afariki mmiliki, kamuni imeyumba kimenejiment pamoja na kushindwa kuhimili ushindani kutoka kwa Hotel nyingine za Mwanza ambazo ni nzuri na zina bei nafuu.
Basi hii thred ungeiandika wewe na kutoa hayo maelezo nyangemaa weeee ,,,,,,,
 
Basi hii thred ungeiandika wewe na kutoa hayo maelezo nyangemaa weeee ,,,,,,,[/QUO

Tusi kwa lugha usiyoijua haliumi. Ila ukweli umeuona ndo maana umetukana.

Otherwise acheni kupotosha watu wenye akili zao na wala nisingeandika wala kuanzisha uzi kama huo kwa sababu najua maana ya biashara.
 
Labla kama hizi hotel zipo nyingi, uhuru road iliyopo hii hotel ninayoisema wiki iliyopita tu ilikuwa wazi nami napita hapa kila siku nikitoka ofisini imefugwa haina siku tano na ukipita utaona TANGAZO na tarehe lilipoandikwa. KAMA HUJAELEWA OMBA UELEWESHWE.
Kwahiyo umepigia mstari moja kwa moja kuwa kufungwa kwa hoteli hiyo kumesababishwa na Serikali kubana matumizi. .....! Ya huku Dar ilifungwa mwaka jana kabla ya Serikali mpya, kwa hilo una maoni gani?
 
Tusi kwa lugha usiyoijua haliumi. Siwezi kuanzisha thread kama hii kwa sababu najua maana ya biashara.
 
Kwahiyo umepigia mstari moja kwa moja kuwa kufungwa kwa hoteli hiyo kumesababisgwa na Serikali kubana matumizi. .....! Ya huku Dar ilifungwa mwaka jana kabla ya Serikali mpya, kwa hilo una maoni gani?
Now umekuja kihoja zaidi , nimeipenda hii
 
Hali imeelendelea kuwa mbaya na kusababisha purchasing power miongoni mwa jamii kushuka na kupelekea baadhi ya biashara kufungwa.

Hotel kubwa jijini Mwanza katika jengo la NSSF katikati ya jiji la Mwanza nayo yafungwa rasmi.

Haya ndio yaliotokea mtaani kwangu sasa sijui mtaani kwako.
Ingekuwa ni Arusha Hotel hiyo isingefungwa..... FisadiKuu
 
Labda ni kwa ajili ya mwezi mtukufu huu. Kwani mmeona mteja mwingine kafungua hapo? Msimuombee mtu mabaya jama. Atafungua tu
 
Back
Top Bottom