Hot: How Do Spies Gather Intelligence?

Spies gather intelligence through open and secret means.
Kuna njia za wazi kama media pia kuna njia za siri kupitia hackers, informers (wapo wa aina nyingi sana), sleepers, honey traps (kukutega kwa kutumia mademu warembo sana)
Infantry Soldier tumekutana humu humu JF. Alikuwa ananitongoza saaanaa na yeye lakini naona amepunguza siku hizi baada ya kuona simpi ushirikiano wa kutosha.
Hivi huyu infantry ni kaka yako,dada yako au spy mwenzako??
Infantry Soldier kuna tuhuma juu yako naomba uzijibu
 
Ahsante mkuu, na ndio point yangu kubwa kwamba kuna spies ambao hawakuwa trained bali wamezaliwa hivyo, meaning that their Spirit where designed from Creation to be 'Seekers'..na ndio hao they use their 'spirit' (meditation) to Seek for their Mission, and with such weapon in hand no Mission is Impossible kwao.
Omnipresent at work...
 
Kuna njia kuu tatu za kukusanya taarifa.

  • HUMINT(Human Intelligence) Hii njia ilikuwa enzi na enzi ambapo unatumia human assets kukusanya taarifa.Mfano utumiaji wa "illegals", double agents na kadhalika
  • SIGNIT( Signal Intelligence). Ni mbinu ambapo una intercept mawasiliano ya target yako kugundua wanasema nini au wanafikiria nini
  • Electronic Intelligence. Hii ni njia ya juzi ambapo unatumia computer kufanya kila aina ya udukuzi
Hizi raw intelligence ndo zinaenda kwa analyst ambapo anazichambua na kupata umaana

Kwa mataifa yaliyoendelea wana aina ya nne ambapo wanatumia Satellite Imagery kujua nini kinaendelea
 
za kizamani sana hizi
Hakuna njia ya kijasusi inakuwa outdated. Kinachofanyika ni kuwa zinaboreshwa na kuwa za kisasa zaidi.

Kama dead drop zilikuwa zinafanyika physically kwa sasa Russians wanafanya electronically.

Unataka kumaanisha counterintelligence units huwa hawafanyi patrols kwenye kutrack dropping points?

Ama unafikiri counterspies hawatafuti hao wanawake wa mitego (honey traps)?
 
Yeyote kwenye kazi hii ya ujajusi, anaeendekeza mto ngono, kamwe papuchi huwa haimwacha mtu salama.

What I meant ni ngono kutumika kama mtego/ulimbo/chambo. .....mbinu hii inafanya kazi since the creation of this World mpaka sasa inaendelea kufanya kazi....and with the way things are going it looks like itaendelea kufanya kazi mpaka mwisho wa dunia.... (sex+money+power=life reality kwa sasa)
 
Back
Top Bottom