Hot: How Do Spies Gather Intelligence?

Upo sahihi kwa upande mmoja lakini kumbuka pia hao unaotafuta data zao pia wapo very very smart na wanazo human assets equal or better than you, sawa? So inawezekana wanachowaza spies wa Israel sasa hivi ndio walichowaza counterspies wa Iran 3 months ago.

Ukweli ni kwamba hakuna binaadam anajua kila kitu, even the best of spies hawana uwezo wa kujua each and every thing ila tofauti ya aina ya spies ninaowazungumzia mimi ni wale ambao no matter how the target is buried they find a way ya kuifukua na mostly in the easiest of ways, ways ambazo spy mwingine yeyote (let's say wa kafundisha sio wa kuzaliwa) hawezi hata kuzifikiria. ...

**Kuna watu ni Natural 'Seducers' .....kila sekunde ya pumzi yake imekua designed ready for something...
 
spies wengine hufanya meditation ya kunuia kufikia target, hufanya ibada maalum ili aweze kujua target person/ company or area kwa usahihi na aweze kuambiwa ukweli kwa urahisi. mfano wa hizo rituals ziko katika kitabu cha rituals and meditation za kigiriki kiitwacho GIKOS, kinapatikana free online
 
Uliwai kuwa spy nini?
 
sawa upo sahihi
 
spies wengine hufanya meditation ya kunuia kufikia target, hufanya ibada maalum ili aweze kujua target person/ company or area kwa usahihi na aweze kuambiwa ukweli kwa urahisi. mfano wa hizo rituals ziko katika kitabu cha rituals and meditation za kigiriki kiitwacho GIKOS, kinapatikana free online

Ahsante mkuu, na ndio point yangu kubwa kwamba kuna spies ambao hawakuwa trained bali wamezaliwa hivyo, meaning that their Spirit where designed from Creation to be 'Seekers'..na ndio hao they use their 'spirit' (meditation) to Seek for their Mission, and with such weapon in hand no Mission is Impossible kwao.
 
pamoja na hilo, training is vital. wale wanaolenga kupata info kutoka kwa watu huwa wamefuzwa na kubobea katika "body language" mtaalam wa eneo hili huweza kutambua ukweli kwa kutazama uso wa mlengwa kwa sekunde moja tu, hii imeandikwa katika kitabu cha "definitive book of body language" kitabu hiki kinauzwa online. hivyo best spy hupata taarifa in different but combines ways. kwasasa, udukuzi wa mifumo ya mawasiliano hutoa njia za awali za ukusanyaji taarifa za kijasusi
 
Hakuna jambo gumu na ghali kama kutafuta taarifa na ndio maana wenzetu wamewekeza sana kwenye kutafuta taarifa na wamefanikiwa sana kimaendeleo.Mfanozuri ni marekani kupitia CIA,sio kila taarifa ni muhimu wezentu wamejikita sana kwenye Economic Intelligence with a lot of investment in the area if your powerful economically mengine yana fuata,lazima itakuwezesha kuwekeza kwenye mambo mengine especially kwenye defense with softcated defense Technology. Kwa upande wa nchi zetu za kiafrica idara zetu nyingi za kijasusi zinatumia nguvu kubwa kukusanya taarifa za kushinda uchaguzi kwa vyama tawala na namna gani watahakikisha vinaendelea kukaa madarakani na kuacha majikumu yao ya msingi ya kikatiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
spies wengine hufanya meditation ya kunuia kufikia target, hufanya ibada maalum ili aweze kujua target person/ company or area kwa usahihi na aweze kuambiwa ukweli kwa urahisi. mfano wa hizo rituals ziko katika kitabu cha rituals and meditation za kigiriki kiitwacho GIKOS, kinapatikana free online
Hii inaitwa somo la hisia. Potential spies wachache sanaa wanafaulu this kind of lesson.
 
Back
Top Bottom