- Thread starter
- #21
basi hizo takwimu siyo sahihi na wala hazi reflect kipato cha watanzania wengi wa kawaida hasahasa wa vijijini.!
Ni kweli ila itareflect wananchi wa vijijini ikiwepo miundo mbinu mizuri, nishati ya umeme ya uhakika, afya bora na vitu vyenginevyo. Hivyo vinahitaji kufanyika sasa kwa vitendo enough with siasa za kila siku na maazimio na mikakati isiyoisha it is time for action. But this is a step forward which also needs to be recognised.