Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,235
- 1,405
Acheni kuwatukana watanzania eti uchumi umekuwa!mnacopy madata kwenye imf mnasema umekuwa wakati watu siku zote wanaishi kama wagonjwa!
Mkuu sasa huu umekuwa ubishi na sii kuelimishana..Naona hatutaelewana. Relative performance of GDP ya Tanzania against other countries Tanzania is doing very good mkuu. Wewe sasa unataka economic performance based actual figure hilo hata wanauchumi hawawezi kulipima na maishani mwangu sijakutana na mwanauchumi mwenye kuwa na economic indicator yenye kuonyesha hali halisi ya maisha ndio maana nikakuuliza marekani GDP per capital income is $42,000 but wako wamarekani who live under a dollar a day. Hivyo hizi economic indicators haziwezi hata siku moja kutoa picha halisi ya nchi tusidanganyane kwenye hilo.
Umezungumzia Human Development Index inayopimwa na UNDP but ile inazungumzia development na sio uzalishaji na pato la mtu nchini. Kumbuka kuwa GDP ni total domestic production yaani vitu tulivyozalisha na kununulika nje au ndani ya nchi. Sasa ukiangalia UNDP development index inaangalia sekta kama afya, elimu na makazi na latest figures zinaonyesha sisi wa 22 duniani kutoka chini (2011 figures) Hata hivyo Human Development index haipimi vitu kama pato la mtanzania, pato la Tanzania kwa ujumla na kadhalika na this Index has so many flaws. Hivyo tafuta indicator nyengine Human Development Index naikataa mkuu.
Let us agree to disagree mkuu sikubaliani na argument yako kuwa GDP per capital ya 1980 ni sawa na ya 2011 but rather naona in terms of relative performance we are doing a lot better and our president deserve a credit for that!!!
Mkuu sasa huu umekuwa ubishi na sii kuelimishana..
GDP per capita ni PPP basis ukigawa kwa idadi ya wananchi wake hii haina maana kabisa ya mtu mmoja anazalisha kiasi gani. Kwa mfano kesho Zanzibar ikijitenga na ina population ya mathlan mil1 wakiuza bililioni 10 wao watakuwa ranked juu ya Tanzania bara hata kama tunauza billioni 100 kwa sababu population yetu ni mil 40. Naukifuata hivyo Bermuda wana GDP per capita kubwa kuliko Marekani, UK, Germany, Japan, Canada yaani nchi zote za G20 hakuna..
1. Sasa pengine mimi ndio nashindwa kukuelewa, labda tutumie mfano huu wa Bermuda, wewe unataka kunambia kitu gani?
2. Ama Guinea Bissau ambayo ni ranked juu ya Libya na South Africa!
GDP per capital is a measure to console leaders that they are making progress...but never a true measure of how much they have eliminated poverty and improved the living standard of the citizen, hicho kipimo cha kujumlisha mamilion ya mafisadi na business monopoly kama bakhresa then wanawagawanya wananchi kwenye hilo pesa zao ndo unakuta...bakhresa ka-cover wananchi laki 3 wanaoishi kwa umasikini wa kutupwa na wenyewe wanaonekana wanaishi kwa dola 1400 kwa mwaka!.
Wakuu hizo namba zisiwandanganye hata kidogo. Ukitaka upate hali halisi ya mambo jaribu kuangalia thaman ya dola against Tsh, kwa miaka hiyo ya 1980's na hii ya sasa.
Halafu soma takwimu upya, utatambua kuwa tunapiga mark time. Leo hii 1$ = 1680 Tsh (ni hatari!)
So unatuambia JK tusimpongeze katika hili? Nafikiri utakuwa mkosaji wa shukrani. Hebu chungulia tena hizo data kipindi cha mwinyi GDP per capital ilikuwa baina 400-600 (sehemu ambayo Zimbabwe, Congo wapo sasa hivi). Mkapa GDP per capital income ilikuwa baina ya (600-1000) which is commendable. JK from 2005-2011 ni baina ya (1000-1400 ) je haikutoshi kumpongeza kwani yuko sawa sawa na mkapa kwa ukuaji wa uchumi kwa kipindi cha miaka 4. Tuwe watu shukrani wakuu sio kubeza kila kitu kwangu mie haya ni mafanikio mwanauchumi yeyote ayasifu.
Halafu soma takwimu upya, utatambua kuwa tunapiga mark time. Leo hii 1$ = 1680 Tsh (ni hatari!)
Mkuu hicho kipimo kikitoa tarakimu kwamba Tanzania ni Nchi masikini duniani unakubali????
Na hicho kikisema tume-improve unakataa? wapi na wapi?
Hakuna anayesema kwamba kipimo hicho ni sahihi 100% kuna critics kwa kipimo utakacholeta hapa duniani that academic nature...
Tunachosema ni kuwa kutumia kipimo hichi uchumi wetu JK ameupandisha..we have to acknowledge