Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Sijaelewa Samia anawaza nini.

Ila kukosana na watu wake halafu unategemea wapinzani wakusaidie the likes of Mbowe sioni kama anafanya maamuzi sahihi.

Anadanganywa.
 
Watu wake aliokosana nao ni wakina nani??
 
Sijaelewa Samia anawaza nini.

Ila kukosana na watu wake halafu unategemea wapinzani wakusaidie the likes of Mbowe sioni kama anafanya maamuzi sahihi.

Anadanganywa.
Usilie usije ukamaliza machozi , ndio kwanza shughuli imeanza
 
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali , baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli , Dr Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa Chadema .

Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema .

Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi .
Hamna kugawa majimbo kubeba mtu. Mnaogopa nini wakati hao chadema sio kitu. Mbunge una muda bado kuonesha watu umefanya nini halafu unaanza kulia?
 
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali , baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli , Dr Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa Chadema .

Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema .

Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi .
Kamarada Gambo wala hana mchecheto na Lema ila tu jimbo ni kubwa kuligawanya ni jambo jema....

Kwani lilipogawanywa Jimbo la Nzega kulikuwa na makada wa CHADEMA?!!!

Kwa hiyo Dr.Kigwangwala na mh.Bashe ni M4C?!!!!
 
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali , baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli , Dr Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa Chadema .

Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema .

Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi .

Hakuna jimbo litakalo gawanywa..

It is very expensive kugawa jimbo, gharama zake ni billions, serikali ya Mama Samia, sitegemei ifanye hilo, kwani Mrisho Gambo au Tulia Ackson mfano wakikosa au kuanguka ktk kura zaijazo 2025 wao ni nani, CCM iko pale pale, Rais wetu ni yule yule, Mama yetu Samia, Chama ni CCM, watu wachache hao wakikosa ubunge haina shida.

Kugawa jimbo ni gharama kubwa mno kwa nchi, na sbb za kagawa jimbo ziko wazi na sio eti iwe sbb fulani anahisi atashindwa jimbo ligawanywe, hilo hapana asilani
 
Back
Top Bottom