Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,873
- 244,429
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa CHADEMA.
Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema.
Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi.
---
Hapajawahi kuwa hoja ya kuligawa Jimbo la Arusha Mjini ili liwe na majimbo 2. Jimbo hili ni dogo sana na linaingia zaidi ya mara 40 ya Jimbo la Ngorongoro ambalo ni moja. Acheni kuweweseka, tukutane Field!