Hodiiiiii humu ndani,jaman mi mgeni naombeni mnipokee na mnipe mwongozo....Akhsante.

Karibu mkuu hapa ndiyo mpango mzima ukiona una mawazo, hasira,na uchovu ingia hapa utoka ukiwa safi
 
Jamaa atakufafanulia maana ya BAN, halafu mimi baadae nitakuja na dondoo mbili tatu kuhusu wanaume wa Dar, najua wewe mgeni huyajui haya mambo!
Funguka basi,vp kuhusu wanawake wa dar?????
 
Karibu mkuu hapa ndiyo mpango mzima ukiona una mawazo, hasira,na uchovu ingia hapa utoka ukiwa safi
Huwezi kuamini toka nimeingia humu,nimekuwanukicheka kinoma coz kila mtu na akili yake humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom