Hizi shower kits na bathtubs (picha) zinapatikana wapi?

rufino

Member
Sep 11, 2024
20
3
Swali kama lilivyo kwenye subject.

Hizi zinatengenewza kwa acrylic au fiberglass.
Zinakuja vipande vitatu vinaunganishwa kwenye site.

Naweza kuzipata wapi Dar?

1732873695453.png


1732873736161.png


1732873754571.png
 
Back
Top Bottom