Sawa ila utalipuka zinakuaga na mafuta hizo, energy ya kutosha zikiheat.Hapana mkuu....push up ...kukimbia
Hapana mkuu...kikubwa ni kujicontrooYaani pesa sina hata kuishi na mwanamke nishindwe hapana kwa kweli ,
ubaya wa ubachela pesa zinaishia kwenye pombe kwenda club kila weekend ,kutafuta malaya, betting, upweke uliokithiri, uchafu ,kula vyakula ya viwandani mkate maandazi na juisi, matatizo ya afya ya akili, kupiga punyeto kuliko kithiri, unywaji wa pombe kali konyagi visungura etc
Kwa vipi.Hii mbaya mkuu
Uongo, ukiish na mwenzako hata matumizi yanapungua, una save sana yani_Pesa zako unazotafuta ukipata unakula pekeako without mizinga
_Ata ukidondosha hela ukirudi unaikutaa
_Hutoi neti kila siku
Ukichoka huogi
_Ndoo ya maji ya kunywa ukiamua unaogea
_Kujifuta Maji na pazia baada ya kuoga
_Free kuwa na kitambi, hakuna wa kukwamba upunguze tumbo.
Ongezea naww .....wale Mashabiki wa Simba mtuache kidogo kimbieni kama kasongo ( nguruwe pori)View attachment 3146659
Unajiendekeza tu mkuu....Hapana mkuu inatokea ukiwa Single
Watu wanajipa moyo tu kuwa single ni mateso duniani wawili wawili bhnaHakuna faida yoyote. Naumwa hakuna hata wa kunisogezea maji. Jana usiku nilizidiwa nikaanza kuamsha majirani wakati ningekua na mtu ndani ndio angekua wa kwanza kunisaidia.
Oooh!... kwanini uteseke wakati tupo ?....hebu zama PM huo usingle tuuondoe.Hakuna faida yoyote. Naumwa hakuna hata wa kunisogezea maji. Jana usiku nilizidiwa nikaanza kuamsha majirani wakati ningekua na mtu ndani ndio angekua wa kwanza kunisaidia.
Wakati Tegeta Kibo Complex wamejaa wauzaji kibao sabuni ya nini?Utachangia sana pato la taifa kwa matumizi makubwa sana ya sabuni.