Ukiwa unajuwa kila option ina faida na hasara zipi, ni rahisi kuamua ipi uichague. Wewe umechagua kufa kwa imani kwamba unaenda kupumzika, but you are not sureOption 1:
Akuache uwe hai ila uteseke?
Option 2;
Achukue uhai ukapumzike?
Mimi ntaenda na option ya pili, wewe je?