Misrecodius vulutus
Member
- Sep 27, 2019
- 62
- 139
Kwanini ajira zimekuwa kizungumkuti kuliko ilivyokuwa wakati wa utawala wa Kikwete? Wote waliohitimu elimu ya juu hasa ualimu na udaktari walikuwa wanaajiriwa. Sasa imekuwaje?
Halafu tunaambiwa eti tunakwenda vizuri( right track). Hivi haoni graduates wanavyozidi kurundikana mtaani kila mwaka karibia miaka minne hakuna ajira. Huku sekta binafsi ndo kabisa uwekezaji unapunguza watu kila siku
Kwahiyo yeye suala la ajira siyo kipaumbele chake hata wakifa sawa tu. Halafu tunadanganywa eti fursa kila anapoenda, nani anapataga fursa kama siyo uongo, nani kashaenda nje kufundisha kiswahili kama siyo kuwadanganya watanzania.
Bomba la Hoima nani kapata ajira kama siyo kuwahadaa watanzania!