Hivi Serikali imeamua kabisa watu wafe kisa Miradi?

Ni usanii tu unaendkelea hivi tuewkewe wazi pesa iliyopelekwa waizara ya maji kwa utekelezaji katika bujeti.

Miaka itapita na mingine wakati huku Nanjilinji ni rahisi kuona soda kuliko kuona tone la maji safi na salama.

Ahadi ni zile zile tangu tupate uhuru.
 
Kwani mpaka uajiliwe? Ulienda kusoma ili uajiliwe? Hii inaonyesha kichwani hamna kitu. Kama umesoma si umepata maharifa? Si utumie maharifa kujikomboa? Nyie ndo wale wa kudesa au degree za chupi au kujipendekeza kwa mwalimu!
"Uajiliwe" ...."maharifa"!
Halafu msenge kama wewe unargue wakati hata kuandika huwezi.maku wewe piga kimya!
 
We fall kweli Sasa serikali si itangaze kwamba hamna ajira tena seikalini. Mbona tawara zingine hazifanya ujinga kama huuu unaoropoka wewe. Hujui kama Anita inaongeza GDP ya nchi kwa kukuza consumption rate yaani C=a +bY. Tatizo we mbumbumbu fala wewe na hujitambui. Kwa vile huna shule kichwani unawanea wivu wenye uwezo wa kuajiliiwa

kwahio miaka yote hio umeeenda shuleni ulidhan kwamba utaajiriwa milele: akuna serikali duniani inaweza kuajiri watu wake wote na ni kawaida sio jambo la kufungulia mada za matatizo: ukipata ni sawa ukikosa ni sawa, mbna maisha bila ajira yanaenda na wengi tu wameajiriwa lakini baada ya mda wanaamua kuachana na ajira
 
wasomi mnatakiwa kujiongeza. Msichague ajira. Kuna dada Arusha alisomea sheria kaanza kulima mboga mboga na sasa ni supplier mkubwa sana. Soma hii link . Usiogope anavyotumia teknologia. We anza kidogo kidogo unakuza mtaji wako. Tafuta taarifa kuna mashirika mengi yanasaidia wakulima wadogo. Kama hupendi kilimo tafuta kitu kingine unaweza kufanya. Ukisubiri ajira utakesha.
Kwasisi tulioajiriw ni bora tu tukae kimya,.haya mambo sio marahisi kama yalivyoandokwa hao. Kwani wewe hutaki kuwa supplier mzee km huyo dada?
 
Nchi yetu masikini sana, hata mtu anapoingia kwenye ajira analipwa kiduchu mno, wengi wanalipwa chini ya dola 500 kwa mwezi mshahara ambao nchi nyingine ni wa siku au masaa.

Sasa ili kuibadilisha hii hali lazima kuwe na maumivu makali sana. Bajeti ya Tanzania ni ndogo kuliko mali anazomiliki bosi wa Amazon na hii sio sawa.

Kufufuliwa kwa shirika la ndege maana yake aina mpya ya ajira imeanzishwa, standard gauge maana yake aina mpya ya ajira imeanzishwa, kwahio miradi hii yote ikitengemaa kutakua na zile ajira za mwanzo na hizi mpya so tutakua na ajira nyingi.

Kinachofanyika ni kukuza mzunguko wa pesa ili kukuza uchumi. Na hili haliwezekani kama tutalilia kua na maisha ya kimasikini.

Cha kufanya sasa hivi ni kuhakikisha unakua na elimu ya kutosha na kujiweka salama kiafya, huko mbele mambo yatakua mazuri sana. Tukiwa wengi na uwiano wa elimu unaofanana tutapiga hatua kubwa sana, sasa hivi gepu la mwenye akili na asie na akili ni kubwa sana.
 
Mwenzio ana point. Wewe umeamua kumtukana kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa! Siyo sawa kabisa. Kama wewe umesoma na kuelimika, ungeandika "mahalifa" badala ya "maarifa"? Watu wanaumia mtaani, wewe unajifanya huoni. Nchi gani ambayo wahitimu wake wote wanajiajiri? Taja moja basi...Hizi siasa uchwara zinawapa upofu. Miaka 4 bila ajira lakini watu bado mnapigia vigelegele hali hiyo.

ata yeye anapoint: wengine mpo kisiasa tu: elimu tunaotumia ni ya miaka karibia 100 imepita toka ianzishwe: dunia imeshabadilika: zaman ilikua kila kitu inamiliki serikali, kwahio ukimaliza tu ajira unaingia kazini moja kwa moja kwa kua hakuna mtu ana uwezo wa kuanzisha miradi mikubwa zaidi ya serikali, leo hii kuna mabadiliko mengi, watu wanaanzisha miradi mikubwa yenye faida kuliko ata serikali, kwahio baadhi ya mashirika ya serikali lazma yafe, mfano: zaman serikali ilikua inahusika na vitu vyote vinahusiana na mauzo yanaoenda nje sku izi mtu yeyyote anaweza fanya ivo: ni busara kusema wewe ndo hujakua kiakili, kwamba umengalia kote ukaona serikali ndo jibu lako la mwisho: akuna ofisi inaweza kujaza watu 50M ni hekima kujua ilo
 
  • Thanks
Reactions: CSF
Kwanini ajira zimekuwa kizungumkuti kuliko ilivyokuwa wakati wa utawala wa Kikwete? Wote waliohitimu elimu ya juu hasa ualimu na udaktari walikuwa wanaajiriwa. Sasa imekuwaje?

Halafu tunaambiwa eti tunakwenda vizuri( right track). Hivi haoni graduates wanavyozidi kurundikana mtaani kila mwaka karibia miaka minne hakuna ajira. Huku sekta binafsi ndo kabisa uwekezaji unapunguza watu kila siku

Kwahiyo yeye suala la ajira siyo kipaumbele chake hata wakifa sawa tu. Halafu tunadanganywa eti fursa kila anapoenda, nani anapataga fursa kama siyo uongo, nani kashaenda nje kufundisha kiswahili kama siyo kuwadanganya watanzania.

Bomba la Hoima nani kapata ajira kama siyo kuwahadaa watanzania!
BOMBA LA HOIMA BENKI IMEKATAA KUTOA MZIGO MAANA FEASIBILITY STUDY HAIKUFUATA UTARATIBU MZEE BABA.
 
Kwasisi tulioajiriw ni bora tu tukae kimya,.haya mambo sio marahisi kama yalivyoandokwa hao. Kwani wewe hutaki kuwa supplier mzee km huyo dada?
Kwanza unajuaje kama mimi mzee!!!. Pili huu ni ushauri tu mtu anaweza akauchukua au akauacha. Tatu ni bora kufanya kitu hata kama hukipendi lakini kinakuingizia fedha. Kitu kingine kama hupendi alime anaweza kufuga kuku wa kienyeji. Anaanza na mmoja tu baada ya mwaka mmoja watakuwa wameongezeka sana. Waliojiajiri wanatoboa sana kuliko walioajiriwa!!!! Kinachotakiwa hapa ni wazo- "Nifanye nin?" Aagalie fursa iliyopo mtaani anakokaa then aichangamkie.
 
Vumilia vumilia uchaguzi unakaribia ajira zitamwagwa ili kutafuta target ya kupata wadhamini na wapiga kura
Kwahiyo wewe hujui kua mpiga kura hana nafasi yakumfanya anayemtaka awe Rais?
Watu wengine mnakomenti kama mko nje ya nchi.
 
Kwani mpaka uajiliwe? Ulienda kusoma ili uajiliwe? Hii inaonyesha kichwani hamna kitu. Kama umesoma si umepata maharifa? Si utumie maharifa kujikomboa? Nyie ndo wale wa kudesa au degree za chupi au kujipendekeza kwa mwalimu!
Kuna kitu hakipo sawa hapa haiwezekani watu wakajiajiri woote au kuajiriwa wote lazima kuwe na mazingira ya kujiajiri na fursa za ajira i think mtoa mada is right
 
Kwani mpaka uajiliwe? Ulienda kusoma ili uajiliwe? Hii inaonyesha kichwani hamna kitu. Kama umesoma si umepata maharifa? Si utumie maharifa kujikomboa? Nyie ndo wale wa kudesa au degree za chupi au kujipendekeza kwa mwalimu!
Ni kuajiriwa mkuu, go back to school.
 
kwahio miaka yote hio umeeenda shuleni ulidhan kwamba utaajiriwa milele: akuna serikali duniani inaweza kuajiri watu wake wote na ni kawaida sio jambo la kufungulia mada za matatizo: ukipata ni sawa ukikosa ni sawa, mbna maisha bila ajira yanaenda na wengi tu wameajiriwa lakini baada ya mda wanaamua kuachana na ajira
Irudi tu kama kipindi cha Kikwete,usianze kusema eti serikali zote duniani haziajiri wote.Ujinga tu huo,aliyeleta hii habari yakutoajiri wakati pale CHIMWAGA alikua anamwambia Angela Kairuki kuhakikisha ajira za walioondolewa za wale wenye vyeti feki,ziwe replaced haraka halafu akaja akaturuka,alaaniwe kabisa.
 
Maandamano mpaka urusi !!! kweli dunia imebadilika...brexit nayo kizungumkuti hapo bado Korea na China.Halafu mtu analialia na Magufuli
 
Inahitaji ushauri,Kikwete si yupo atoe ushauri unaoutaka wa jinsi alivyokua anaweza kuajiri.
Kinachotakiwa ni serikali kutengeneza ajira mpya. Kazi zilizopo ni chache na wasomi wanazidi kuongezeka.
 
Irudi tu kama kipindi cha Kikwete,usianze kusema eti serikali zote duniani haziajiri wote.Ujinga tu huo,aliyeleta hii habari yakutoajiri wakati pale CHIMWAGA alikua anamwambia Angela Kairuki kuhakikisha ajira za walioondolewa za wale wenye vyeti feki,ziwe replaced haraka halafu akaja akaturuka,alaaniwe kabisa.

ajira sio haki kwamba usipopata unaenda kudai mtu flan hajakuajiri, kama nafasi za ajira hakuna unataka afanye nn? serikali ni shirika kama shirika lingine, na haiwezekan serikali iajiri watu wote kama hakuna miradi mipya unadhan ajira znatoka wap: sasa kama mda huu, magufuli anatekeleza miradi mipya bado mnapiga kelele, tuwaelewe vP: na pia sio kila mtu ni wa kuajiri, una nn cha tija kabla sjakuajiri, maana unakuta mtu kamaliza tu analia ajira mwajiri haoni cha maaana atakachofanya maana ni yale yale tu, sehem sio kazi yake kuajiri watu waliokosa ajira sehem ingine: kama umekosa ajira mashirika binafsi usianze kulia hujaajiriwa na serikali maaana kuna wanaomaliza mwaka huu na wanapata ajira mwaka huu huu, sasa jiulize wewe mbna unalia ajira bado
 
Kinachotakiwa ni serikali kutengeneza ajira mpya. Kazi zilizopo ni chache na wasomi wanazidi kuongezeka.
Serikali inajua Hilo,lakini haiajiri,waalimu wanastaafu,wengine wanafariki,wengine wanaugua hadi kufikia kutofanya majukumu yao,lakini serikali haiwaajiri,sekta nyingine hivyohivyo,yeye yuko na SGR n.k.
Aliondoa wenye vyeti feki,halafu haku-replace,huyo mtu hata ikitokea kapigwa na stroke,ataombewa na nani?
Anazingua sana,juzi anamjibu mkuu wa magereza kua haajiri askari 800 kama alivyoombwa,yeye anaona sifa au?
Aajiri,aache mambo yake ya ajabu,mtu anasoma hadi levo ya digrii,anaishia kuuza samaki kwenye ndoo,kwani ilihitaji digrii ya udaktari au unesi kufanya hivyo,si angeishia hata form four tu?
Mtu alikua anaamka usiku ili asome kwa bidii na maarifa,anakuja anawekwa mtaani toka 2015,ni sawa?
 
Back
Top Bottom