Hivi Serikali imeamua kabisa watu wafe kisa Miradi?

Siasa kweli zimewaaribu watanzania ulaya ambapo kemendelea kuliko wanalalamika serikali ajira na katika kampeni ni mgombea anasema ni vp itaongeza ajira kwa wananchi kama alivyofanya Trump ila ww mtu anasema unaongea kama mlevi wa gongo acha ushabiki wakizamani panua ubongo
Naona umeamka na hangover ya Mbege, unataka kumvisha Magufuli zigo la uvivu wenu? Raisi hawezi kutatua matatizo ya kila mmoja wenu, kama hauoni faida ya Miundombinu endelea kulewa mbege.
 
Siasa kweli zimewaaribu watanzania ulaya ambapo kemendelea kuliko wanalalamika serikali ajira na katika kampeni ni mgombea anasema ni vp itaongeza ajira kwa wananchi kama alivyofanya Trump ila ww mtu anasema unaongea kama mlevi wa gongo acha ushabiki wakizamani panua ubongo

baada ya kuulizwa wananchi wake wote sasa wamepata ajira? ama na wewe ndo wale wale
 
imefanya jitahada nyingi ajira zimeongezeka ametekeleza alichoahidi iyo ni katika namna ya kuboresha maisha bora kwa wananchi wake lkini ww unaisi serikali haihusiki katika kutoa ajira kwa wananchi inaweza isitoe direct ila indirect inachangia katika upatikanaji wa ajira kiurahisi
 
Kukosa ajira ni haki yako maaana una akili ya miaka ya 100, sasa we unaona dunia saaahv inavoenda watu wanazidi kupteza ajira zaidi ya watu wanavopata: mfano kwenye viwanda watu wanaona ni vema kutumia machines na kuna swala la robots wanaofanya kazi: kana kwamba we hujaelemika na huezi fanya maamuzi ya maisha unasubiri mtu akufanyie maamuzi: rudi shule dunia imebadilika, mabadiliko hayana budi kuja kwakua watu wakiwa bussy wanasonga mbele we unarudi nyuma: mm nakutakia maisha marefu uendelee kulalamika mda mrefu: kwan we unadhan haya mabadiliko yameletwa na wakina nan? serikali ama: ama ni serikali za nchi zilizoendelea?? maendeleo haya yameletwa na mtu mmoja mmoja aliekua mthubutu: leo hii unatumia jamaa forum , unakumbuka kipindi watu walikua wanaandika simu za maneno kumi alafu unatuma? baada ya simu kuja kukuwezesha kuandika upuuzi online unadhan wale waliokua wanafanya kazi kwenye izo simu za barua wamlaumu nan?
''Jamaa forum'' ndio nini ?
Kuwa mpole tu ewe kibaraka wa lumumba,hiyo buku saba yako ipo,wala hata usiharakishe!
 
kuendesha taifa lenye watu kama nyie ni mzigo mkubwa sana: yaani unakua prezidaa unawaza hivi hawa wananchi wanaweza kweli kukukua kiakili kukiwa na shida ama mpaka waje kunililia: kazi kweli kweli: kuna nchi haina ata official currency ya nchi yao lakini wanachi bado wanasogeza maisha mbele infact kuna tajiri mmoja anatokea zimbabwe yuko kwenye list ya forbes: imagine mtu kama huyu angekua na akili kama yako angetoka kimaisha lini, we upewe nn tena, ardhi imejaaa, uongozi upo: yule mwanazimbabwe ambae nchi yake haina ata fedha halali ya nchi yake asemeje>? kwan unakwama wap?hana haki ya kusema nchi yake haina uwezo>? ila mbna ni miongoni mwa matajiri Afrika: wewe upewe nn kingine?
Wewe ni tajiri namba ngapi kulingana na hao forbres?
IMEFIKA KIPINDI,MNAMUABUDU NA KUMSUJUDU MAGUFULI,YANI MNAMPA CHEO CHA MUNGU KABISAA
 
Mm naimani baada ya miaka kumi tutapata vijana wengi wasomi waliopo mtaani hawana ajira ila wenye uwezo wa kujenga hoja na kuaminika na wengi na kuungwa mkono pia hapo ndo tutasikia maandamano ya kutokuwa na imani na serikal iliyopo madarakani .MTU unashaur mwezako ajiajir na ww umeajiliwa na huna mradi wowote unaoweza tengeneza ajira kwa wengine ni ujinga mkubwa sanaa.
 
wasomi mnatakiwa kujiongeza. Msichague ajira. Kuna dada Arusha alisomea sheria kaanza kulima mboga mboga na sasa ni supplier mkubwa sana. Soma hii link . Usiogope anavyotumia teknologia. We anza kidogo kidogo unakuza mtaji wako. Tafuta taarifa kuna mashirika mengi yanasaidia wakulima wadogo. Kama hupendi kilimo tafuta kitu kingine unaweza kufanya. Ukisubiri ajira utakesha.

Amechelewa sana....
badala ya kupoteza muda wake kusoma hiyo sheria ambayo haifanyii kazi....
alitakiwa auze hizo mboga toka wakati huo nadhani atakuwa alikuwa hajielewi anataka nn kwenye maisha yake....!!?
 
Wewe unafikiri hiyo elimu ya sheria haimsaidii, nenda kajipendekeze hata kukatiza kwenye shamba lake uone atakavyokuchachafya na hiyo elimu yake ya sheria
 
Mshamba kweli wewe,yani unataka kila graduate ajiajiri? Ifike mahala mtambue kuwa Entrepreneurship sio suala la kila mtu,kuna mtu hata umpe 50 mil hawezi kufanya mradi wowote. Kila binadamu ana talanta yake kwa nafasi yake ndani ya eneo na muda wake,hiyo ndo maana halisi ya Specialization.

Hizi kauli za kuiga iga tu kutoka kwa politicians ni za kupuuzwa! Mkikosa kazi za kuwapa vijana wetu semeni tu wazi kuwa hamna kazi na sio kuwatupia mpita graduates eti wameshindwa kujiajiri.

Yani wewe ni hired labour, tena usikute ni umekalia kodi za wananchi afu bado unapiga kelele eti graduates wasilalamike kuhusu kukosa ajira bali wajiajiri??? Tujaribu kuwa serious na elimu na muda wa watu na sio kuleta brah! brah! Hapa.
Kwani mpaka uajiliwe? Ulienda kusoma ili uajiliwe? Hii inaonyesha kichwani hamna kitu. Kama umesoma si umepata maharifa? Si utumie maharifa kujikomboa? Nyie ndo wale wa kudesa au degree za chupi au kujipendekeza kwa mwalimu!
 
Hapo ndipo mnapokosea,huyo dada muuza mboga atabaki kuwa yeye na huyu jamaa atabaki kuwa yeye daima. Usitake kisa umeona YouTube huko dada anauza mboga basi uje hapa umshauri jamaa auze mboga, ujasiriamali ni kila mtu anauweza mkuu,wangapi tumejaribu kuwainua ila bado walikwama na bihashara zao ( sio kila mtu anaweza jiajiri).
wasomi mnatakiwa kujiongeza. Msichague ajira. Kuna dada Arusha alisomea sheria kaanza kulima mboga mboga na sasa ni supplier mkubwa sana. Soma hii link . Usiogope anavyotumia teknologia. We anza kidogo kidogo unakuza mtaji wako. Tafuta taarifa kuna mashirika mengi yanasaidia wakulima wadogo. Kama hupendi kilimo tafuta kitu kingine unaweza kufanya. Ukisubiri ajira utakesha.
 
Naomba mniambie ni nani ambaye serikali imemzuia kulima chakula chake na familia yake.ni kazi gani unataka hapa afrika?upesi nenda ukalime.
 
Hakuna tajr dunian alieajiriwa na serikali jiajir acha kulalamika kama asietaka kuolewa na bwana mzee,dunia kote matajir wanachukua tender serikalin kuajiriwa na serial

[/QUOTE]
 
Usaishangilie failure. Hii Ni failure ya serikali
wasomi mnatakiwa kujiongeza. Msichague ajira. Kuna dada Arusha alisomea sheria kaanza kulima mboga mboga na sasa ni supplier mkubwa sana. Soma hii link . Usiogope anavyotumia teknologia. We anza kidogo kidogo unakuza mtaji wako. Tafuta taarifa kuna mashirika mengi yanasaidia wakulima wadogo. Kama hupendi kilimo tafuta kitu kingine unaweza kufanya. Ukisubiri ajira utakesha.
 
We ni matako Sana kwakua ww umeshiba ndio maana hujali wenye njaa
We fall kweli Sasa serikali si itangaze kwamba hamna ajira tena seikalini. Mbona tawara zingine hazifanya ujinga kama huuu unaoropoka wewe. Hujui kama Anita inaongeza GDP ya nchi kwa kukuza consumption rate yaani C=a +bY. Tatizo we mbumbumbu fala wewe na hujitambui. Kwa vile huna shule kichwani unawanea wivu wenye uwezo wa kuajiliiwa
 
Kwani mpaka uajiliwe? Ulienda kusoma ili uajiliwe? Hii inaonyesha kichwani hamna kitu. Kama umesoma si umepata maharifa? Si utumie maharifa kujikomboa? Nyie ndo wale wa kudesa au degree za chupi au kujipendekeza kwa mwalimu!
hilo la kujiajiri inatakiwa liwe option,mtu uamue kuajiriwa au kujiajiri
 
Back
Top Bottom