Hivi ni kweli kwamba mwanamke anayepika chakula kitamu na yeye ni mtamu?

Hebu wana MMU tuliongelee hili kidogo sijui kama lina ukweli wowote.

Eti bidada akiwa mpishi mzuri wa chakula yaani kina ladha nzuri, kuna watu wanadai kuwa hata kitandani pia anakuwa ni mtamu hivyo hivyo kama chakula chake.

Wajuzi wa hii kitu naomba kuuliza kuna kaukweli hapa au ni projo tu?

Kama ni hivyo nikajiunge kozi kabisa ya mapishi vyuoni huko lol.
Wacha wajuvi wa hii sector waje coz cjajua tofaut ya tamu na iso tamu
 
Kwani mtu akisema chakula fulani ni kitamu.
Utamu huo upo kwenye nini?
 
Nasikia lazima wakati wa kupika na uwe uchi kabisa usiwe na nguo yeyote ndo chakula huwa kitamu mbaya..
Sio uchi kabisa mkuu, ni dera au Khanga tupu au gauni bila chupi ndani....
It works all the time.
 
mimi mwenyewe ni mzenj baba na mama na pia nimezaliwa na kulelewa nakusoma zenj mpaka degree ya kwanza ni kwenye master na Phd ndio nimekuja bara so I know it for sure and kama ni uwongo na waje wazenj wenzangu wabishe hapa tuone!


Mie nabisha
 
Back
Top Bottom