Hivi ni kweli kuna baadhi ya wanawake wana nuksi?

Inategemeana na life style yenu coz kila mahusiano yana mtindo wake.kama anakufanya muda wote ni wa kula bata tu, wivu uliokithir hadi unashindwa kwenda job, anakujaza tamaa tu ya kuishi maisha usiyoyamudu unaiba job na mengi tu km hayo kwann usiandamwe na mikosi na kushindwa kustahimili maisha halisi!
 
Hapana mkuu haiwi hivyo, Mfano halisi mimi kuna Binti niliwahi kuwa na uhusiano nae kwa kweli huyu ni majanga yaani nilifukuzwa mpaka kazi kabla ya kufukuzwa kazi mzee aliwahi kunionya kwamba binti hafai mimi nikapuuza nilipofukuzwa kazi mzee akanikumbusha tena kwamba alinionya lakini sikumsikiliza na haikuishia hapo hata nilipoachana nae nikikutana nae njiani yaani ile kitendo cha kumuona tu basi huo ni Mkosi, Nikapata mwingine ila huyu alikuwa kama rafiki tu ila huyu nilijikuta nikimpenda kwa jinsi alivyo na nyota nzuri yaani ilikuwa akija tu eneo langu la biashara siku hiyo nakuwa na uhakika wa kupata pesa ya kutosha nikiongea nae kwenye simu tu hata ka sina pesa siku hiyo nitaipata bila kutarajia hivyo jumapili nilitembelea maeneo nikamuulizia kwa rafiki yangu kama naweza onana nae ili kumpa hai tu akanijibu yupo subiri ntakupeleka nakumbuka sikwenda kuonana nae huyo binti lakini kesho yake bila kutarajia nikakutana na mtu niliyekuwa nikimdai siku nyingi ile kuniona tu baada ya salamu akaanza kunikumbusha kuhusu pesa ninayomdai akanilipa hapo hapo bila hata mimi mwenyewe kumwambia anipe. Hivyo kuhusu kuwa baadhi ya wanawake ni Nuksi ni kweli
 
Aisee hahahahaaaa nina wasiwasi nahuyo binti
 
WAPO WANAWAKE, WAPO WANAUME WENYE NUKSI KALI.
WAZEE WETU ZAMANI KABLA YA KUFUNGISHA NDOA KUNA VITU WALIKUWA WAKIVITIZANA ( ZIVIFAHAMU)
FACT NI KWAMBA.
******************
*Waweza oa, mauti ikakufika.
*Waweza oa ukafilisika automaticaly.
*Waweza oa ukatajirika ghafla from no where!.
*Waweza oa ukawa masikini daima dumu.
.....Endelea..mwanawane..!
 
Bora ingekuwa nuksi tu, kuna wanawake/wanaume hawaishi na wenza, kila wakianza mahusiano au kuolewa/kuoa...wenzi wao wanakufa.
Haya mambo yanasemwa sana.
 
Hata baadhi ya wanaume pia... wana nuksi ya ajabu sana... kazi hawapati, wanawake wanawakimbia...
 
Back
Top Bottom