Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 389
- 907
Wazee leo imebidi niulize,
Maana naona watoto wa miaka ya 90 kama tulikua tunapigwa fiksi mno na wazazi au wakubwa wetu....
Nimekua miaka ya 2000 na hivi nikiamini stori niliyoikuta kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1990 sijui 1992 alikujaga bana Wako Jack (MJ) Gwiji Michael Jackson hapa Ti-ziii
Eti nasikia mwamba alifungua mlango wa ndege pale airport kabla hajashuka chini alipokuwa akisubiriwa na umati ikiwapo Rais Mwinyi enzi hizo, eti MJ akabinya pua yake kama mtu alonakinyaa akasema Tanzania inanuka haina hewa safi ya yeye kuvuta ...
Eti mwamba MJ akamwambia rubani wa ndege wang'oe...yaani hakushuka ndege likageuza hilo marekani....😂😂
Sasa wadau nimeuliza hivi maana leo nimekuta hiyo picha hapo nimeambatanisha na post ya MJ akiwa nyumbani kwa Mwinyi enzi hizo. yaani wamerelax wanakula stori....
Imebidi niulize hawa wazazi au watu wa zamani walikua wanatuchukuliaje watoto aisee!? kwa fiksi walizokuwa wanatupa!?
Yaani mimi mpaka leo na utu uzima wangu nilikua naamini kuwa MJ sio mwana kabisa kwa kitendo alichokifanya😂😂 kumbe nililishwa maneno mbofumbofu na story za kitaa enzi hizo hakuna vyanzo vya habari hata kuhakiki ukweli wa story...
Tuachage kulisha matango pori watoto sio vizuri jamani.....
Rest in peace MJ na Mzee Ruksa