Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais.
Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi, kama ningekuwa mm hakyamungu ningewaongoza kama Niccolo Machiaevell vile.
Rais ni kiongozi wa nchi lkn Ana familia na Ana nyongo kama sisi, unapomkashifu kisiasa anavumilia kwa sababu anaamini katika resilience.Mwanafalsasa Yean Bochin ameongelea sana dhana ya Political tolerance.
Chadema ni chama kinachodai kuamini sana freedom of expression, uhuru wa watu kutoa maoni yao, sasa Msigwa ameongelea masuala ya siasa kwenye majukwaa.
Hoja za kisiasa badala ya kujibiwa kisiasa zinaenda kutafutiwa uhalali wa kisheria, inakuwaje sasa
Mbowe na Lissu mmekuwa mkiongea mambo mengi ya uongo yanayohusu serikali, lkn kwa sababu mnaongea kwenye majukwaa ya kisiasa hampelekwi mahakamani, leo Msigwa kakupiga shoti katika nyeti zako unalia unalia