Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,144
- 16,138
Sure upo single?176 cm and single
Mie am 179cm single too
Sure upo single?176 cm and single
I wish nikuone live ujue mamitoongoja nringe miee binti wa marehemu aggy....kumbe ndo mana nkiwa ndani ya surual au sket fupi wananiangalia Sana??makonda daladala,wasela mtaani...najikuta tu najiuliza mi wa kawaida but kinachowatesa kwangu ni nini?..u cant believe mpk watu wa karibu.sometimes nlikua nachukia sana kuwa mrefu bt kumbe yule nae anataman kuwa kama mm#
I couldn't say it better! It's pathetic when you think of what's really in some people's mind! No time to discuss important issues only daunting and belittling topics! What a disgraceful kind of minds we are having around!Worthless discussions! Less minds... When will we ever think about important things than tribalism, life status and mostly sexual issues?? Ooh please...can you upgrade yourself a little bit!?
Mi jike Mzee, hips zimekaa mahali pakeWeka sukari nan anaetaka mwanaume mfupi ebooo
You're really short, ptyuuuuuuuuWorthless discussions! Less minds... When will we ever think about important things than tribalism, life status and mostly sexual issues?? Ooh please...can you upgrade yourself a little bit!?
You're having important issues to discuss only when it comes to topic out of your comfort zone" poor LadyI couldn't say it better! It's pathetic when you think of what's really in some people's mind! No time to discuss important issues only daunting and belittling topics! What a disgraceful kind of minds we are having around!
Madam. tell us what you want to hear. Shorter women are more likely to have long-term relationships with men, and more likely to have children. Yeah right!Worthless discussions! Less minds... When will we ever think about important things than tribalism, life status and mostly sexual issues?? Ooh please...can you upgrade yourself a little bit!?
Hongera zako mkuu. Hii thread imeniletea balaa mtaani. Watu wafupi wamenuna hata salamu hawaitikii. Itabidi nianze kuongea na walefu pia. NIa ya kuuliza ni kujua sababu, lakini wafupi wamejiona nawatenga. Mbona hata mimi nina ndugu wafupi?Duuh mi mrefu nahis ad nakuzid, uo utafti sijui umefanyia wap
Huwa hawapitwi na vikoba. Kila mkopo unaokuja yumo, kikoba yumo. Ukitaka wakushukie anzisha thread ya kuwasema. Hapa nlipo nmekoma.Lishe duni, hela wanazopata wanaweka bundle ya snap chat na insta mengine wingi, rangi na kucha. Hahhahah imejipost samahanini
ha ha ha haaaaaaKwenye hao wanawake warefu unapata kipi cha ziada?
Naona mmeanza kuingilia kazi ya munguUsilogwe kuoa mfupi, wanaongea haoooooo
Mimi nlitaka kujua kama kunahusiana na Mazingira. Mfano Waruguru nliowaona wengi ni wafupi? kwanini Mungu awaone wao tu? Ukiacha na Mungu, Ukioa mwanamke mrefu na wewe mrefu mtapata mfupi? mimi naona kana haja ya kuchanganya mbegu.Naona mmeanza kuingilia kazi ya mungu
Ahahahahaha kabisa MkuuUsilogwe kuoa mfupi, wanaongea haoooooo
Hahahahaha dah nimecheka saba kwa kweli kwenye hizo sifa, kipi cha ziada kwa wanawake warefuKutembea naye njiani, kumbusu kwa kusimama, kumshikisha ukuta, mbuzi kagoma.
Kwa mfupi, mbuzi kagoma kwenda inalazimisha upanue sana mapaja ili kulengesha mtutu.