wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,974
- 27,209
Nimetamani nikujibu ulicho andika ila nikaona si busara kubishania usicho kijuaSio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...
Sio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...
Najua umeniuliza kimtego ila unajua jibu la swali uliloniulizaTendo la ndoa/kujaamiana ni haramu pia?
HahaahahhhahhTendo la ndoa/kujaamiana ni haramu pia?
MKUU,ULIFANIKIWAHabarini Wadau,
Inaaminika kuwa kitimoto ni nyama tamu sana kuliko nyama zingine nyingi tu, kwa walioionja au wanaoitumia.
Ila, sijawahi kuona mishikaki ya nyama ya nguruwe, nimezoea kuona mishikaki ya beef, chicken na hata ya pweza.
Ni kwamba kitimoto na utamu wote haufai kutengenezewa mishikaki?
Kuna mtu aliniambia haifai kwaajili ya mafuta mengi kuishia jikoni.
Kuna ukweli katika hilo?
Msaada tafadhali.
Wabillah Tawfiq,
Mkuu pale nikikula mpaka mshikaki wa samakiNdiyo nenda coco ukale
mweu weweHabarini Wadau,
Inaaminika kuwa kitimoto ni nyama tamu sana kuliko nyama zingine nyingi tu, kwa walioionja au wanaoitumia.
Ila, sijawahi kuona mishikaki ya nyama ya nguruwe, nimezoea kuona mishikaki ya beef, chicken na hata ya pweza.
Ni kwamba kitimoto na utamu wote haufai kutengenezewa mishikaki?
Kuna mtu aliniambia haifai kwaajili ya mafuta mengi kuishia jikoni.
Kuna ukweli katika hilo?
Msaada tafadhali.
Wabillah Tawfiq,
Weka ushahidi wewe kishaija na Mimi mgen tumepigwa ban tusile nyama ya nguruwe...naona Baada ya Uumbaji MWENYEZI akaonnaSio kutengenezwa mishikaki tu hat kuliwa haifai
hahahaWatu wanatengeneza ya mbwa itakuwa ya kitimoto?
Mi mwenyewe mpenzi sana wa kitifaya ila sijawahi ona mshikaki wa ngurubhe.................
Inawezekana ila utakuwa huifaidi,ile ukitaka uile vizuri inatakiwa iwe kwenye mapande makubwa makubwa,unang'ata kidogo kipande,kingine kinabakia mkononi ukiendelea kutafuna,huku kile kipande unachovya kidogo kwenye chumvi,kidogo kwenye pili pili,ukimalizia unachotafuna unatia mdomoni kilichopo mkonnoni..Habarini Wadau,
Inaaminika kuwa kitimoto ni nyama tamu sana kuliko nyama zingine nyingi tu, kwa walioionja au wanaoitumia.
Ila, sijawahi kuona mishikaki ya nyama ya nguruwe, nimezoea kuona mishikaki ya beef, chicken na hata ya pweza.
Ni kwamba kitimoto na utamu wote haufai kutengenezewa mishikaki?
Kuna mtu aliniambia haifai kwaajili ya mafuta mengi kuishia jikoni.
Kuna ukweli katika hilo?
Msaada tafadhali.
Wabillah Tawfiq,
Nani alikuambia pombe ni haramuSio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...
Nimekubali mkuu.....ni nomapilau lake specialhata kitu yake yaliwa ati
ndio maana alifeli mtihani,hajibu swali he heBado hujanijibu swali langu mkuu ila umeleta maelezo mengine.
Kitimoto kinafaa kutengenezewa mishikaki?