Navojua kazi ya walimu ni kufundisha, ila sina uhakika kama walimu wa siku hizi wanajua kazi yao na sababu ya wao kua shuleni!!
Mwalimu kila siku anampa mwanafunzi homework nyingi ambazo darasani hajafundisha! Unatoa homework ambayo hujafundisha darasani unategemea mwanafunzi afanyaje?
Matokeo yake kila siku watoto wakirudi naanzisha tuition nyumbani kuanza kufundisha vitu ambavyo mwalimu alitakiwa afundishe darasani!
Pesa ya ada nalipa ili mtoto aje asome afundishwe lakini hafundishwi, walimu wanategemea wazazi wawafundishe watoto kufanya homework! Nimechoka hii tabia ya walimu na homework wanazotoa!
Kesho nawafata shule either wanilipe hela ya kumfundisha mtoto kufanya homework au wamfundishe mtoto kama inavyotakiwa kama pesa natoa tena nyingi tu!!
Natoa pesa watoto wasome ndo maana nimewaleta shule! Au mnafikiri wazazi hatuna kazi mpaka tuwafanyie kazi yenu ambayo tunawalipa?