Abdulhamid mhando
New Member
- Oct 28, 2017
- 2
- 0
Kikosi maalumu cha jeshi ambacho kazi zake ni kushiriki katika operation maalumu za kijeshiKwani maana ya Special Force ni nini? Tuambie kwanza halafu tutakujibu.
Kikosi maalumu cha jeshi ambacho kazi zake ni kushiriki katika operation maalumu za kijeshiKwani maana ya Special Force ni nini? Tuambie kwanza halafu tutakujibu.
We jamaa bila shaka unazungumzia FFU, special forces hawana kazi ya kupiga watu virungu vya ugoko.Kama huamini Tanzania kuna special force za aina gani,we zingua tu.
kwanza utaanza kwa kuletewa wale jamaa a.k.a mgambo wa kunyooshe kabla ya hao masoldier kuja.
aagh muulize Idd Amini wa Uganda alipewa chai ya rangi ua ya maziwa na uji.
Green guard nayo special force???Kile kokosi cha ccm kinaitwaje?
Kwahiyo hizo special forces za marekani na israel wenyewe hawataki kufichaficha? Acheni uoga jamani. Nimeona documentary hiyo hapo juu ya Black Ops wa israel mpaka nimependa. Waafrika tatizo letu ni ushamba. Eti kuongelea mambo ya majeshi yetu ni abomination. WTFIs it necessary kweli kujua..tupo tofauti sana. Ok ukijua then what next..anyway umewahi kujiuliza why such information is not open..
Kikosi maalumu cha jeshi ambacho kazi zake ni kushiriki katika operation maalumu za kijeshi
Hata wao pia hawakupi ukweli wote; wanakupa kasehemu kadoogo tu kakufurahisha. ni sehemu ya propaganda. na ndio stori tunazobishania hapa toka Google na YouTube. Mengine yote. wanajua wenye nchi zao.Kwahiyo hizo special forces za marekani na israel wenyewe hawataki kufichaficha? Acheni uoga jamani. Nimeona documentary hiyo hapo juu ya Black Ops wa israel mpaka nimependa. Waafrika tatizo letu ni ushamba. Eti kuongelea mambo ya majeshi yetu ni abomination. WTF
Hamna kitu,watanzania kupenda kujisifia tu.Vile vitu ambavyo tunashindanishwa waziwazi vyote tunashindwa.Mfano soka,ngumi,nk.Lakini jeshi tunajifanya tunaweeza.Sasa kama unashindwa vingine vyote utawezaje jeshi tu?Hakuna jeshi duniani lisilo na special force bana ingawa uwezo wao huwa unatafautiana kwa nchi na nchi ...lakini Tz kwa hapa africa inatsha....nawakubali naheshm jeshi letu....