Historia ya Wilaya ya Ngara, utamaduni wa wakazi wa Ngara na chanzo cha jina la kabila la Wahangaza

Bila mto ruvuvu ngara ingekuwa burundi au rwanda,hakuna tofauti ya muha,mhangaza na mrundi
 
Je hao wahangaza na wasubi kabla ya Tanganyika kupata Uhuru tayari walikuepo nchini au walikuja baada maana lugha yao inafanana kabisa na lugha ya wahutu.Na ukizingatia Mara ya baada ya Tanganyika kupata Uhuru mwalimu nyerere alisema kwamba mtu yeyote ambae kabla ya saa 6 usiku wa kuamkia tar 9.12.1961 tayari alikuepo nchini Basi huyo atatambulika kua ni raia wa kuzaliwa.
 
Kuna ardhi yenye rutuba mno, unalima bila mbolea na unapata mahindi, maharage ila wenyeji wa huku ni WAVIVU na WALEVI, wametanguliza starehe mbele, wamo kwenye lindi la umaskini, njaa ni kali.
Kilimo cha migomba na maparachichi kinakubali ila wananchi wa huku hawajui kutumia fursa.
 
Hii Mila ya watoto hawali na baba yao au zile za kizamani eti nyama nyingi ni za baba au baba ale kwanza ndiyo watoto wale, huu ulikua ni UPUMBAVU mkubwa sana, na kama bado upo ni wa kijinga mno, watoto wangu labda basi wawe wamekua japo 18yrs... Lakini watoto wangu wa miaka 6/8 eti mimi nile chakula kwanza ndo wao wale, aisee huu ulikua ni ushenzi mkubwa sana, nina kumbu kumbu za mbali sana hata mimi nilipokua mdogo na kaka zangu huko kwetu, eti tunaambiwa ngoja wageni wanawe kwanza, hii mboga ya wageni, ambayo ndiyo nzuri au kubwa kushinda ya watoto, aisee napata hasira
Ilikuwa kutia adabu watoto wakorofi kama wewe ulivyokuwa, lakini to be serious haikuwa kwenye makabila tuu, hata dini ukiangalia vizuri nazo zilikuwa na vitu vya kuwaonea wanawake na kuwafanya wako chini, mfano wakatoliki mwanamke hawezi kuwa Padri au askofu, waislam mwanamke sijui hata kama anaweza kuwa kiongozi kama maimamu au masheikh au mufti, mifano ipo mingi, ndio maana naamini haya mambo ya dini ni creation ya mwanadamu tuu
 
Watanzania ndo wanafananaje
Ukipanda basi toka kigoma au ngara mkifika pori fulani nadhani n masumbwe au ushirombo kuna barrier ya uhamiaji,huwa wanasimamisha mabasi na kuangalia sura,wameshakamata wengi sana,mara nyingi hawakosei
 
Watanzania bana. Akili ndogo sana. Kwa hiyo Mbeya ilitakiwa iwe wapi Zambia au Malawi? Ruvuma ilitakiwa iwe wapi? Bukoba,Kigoma, Mtwara, Mara,Tanga, Moshi na mikoa/wilaya nyingine zilizo mipakani? Kwa vile Wahangaza wanaongea lugha moja na utamaduni sawa na Warundi na Wanyarwanda sio sababu ya kuwa na fikira mbovu kama hizo. Afrika iligawanywa na Wakoloni kwa hiyo hapakuwa na sayansi iliyotumika kufanya mji Fulani uwe katika nchi Fulani au mto Fulani uwe katika nchi yako au ya jirani yako. Kumbuka Tanganyika,Rwanda na Burundi zilikuwa himaya ya Mjerumani kabla ya vita ya kwanza ya dunia kwa hiyo Wajerumani wasingeshindwa katika vita hatujui mipaka ya nchi 3 hizi ingekuwaje. Yamkini mkoa unapotoka wewe ungekuwa ndani ya nchi nyingine kama wakoloni wangeimega Tanganyika/TZ Bara tena. Muwe mnafikiria kwa kina kabla hamjaongea utumbo.
Watanzania wengi don't reason beyond pua. Kuna mmoja nilimtengezea syllogism hadi akakumbuka.

Hoja yake ilikuwa eti Wahaya ni Waganda kisa tupo mpakani.

Nikamwambia tuassume kwamba kweli ni Waganda.

Tukiassume ni Waganda, mpaka utasogea kwa Wasubi.
Kwa kuwa Wasubi watakuwa mpakani nao watakuwa Waganda.
Mpaka utasogea hadi Usukumani. Nao watakuwa Waganda maana watakuwa mpakani.
Namna hiyo Tanzania nzima itakuwa Uganda.

Conclusion. Ukiona mtu ana argument ya hivyo ujue anakosa akili za kuzaliwa.
 
Ukipanda basi toka kigoma au ngara mkifika pori fulani nadhani n masumbwe au ushirombo kuna barrier ya uhamiaji,huwa wanasimamisha mabasi na kuangalia sura,wameshakamata wengi sana,mara nyingi hawakosei
Wanaangalia physical features za kitusi ambazo zipo predominantly Rwanda. Utanzania ni civil concept. Sio tribal Au physical. Nevertheless ukiwa na hizo features ni rahisi kushukiwa maana Watanzania wengi ni Wanantu with a bia flat nose. Makabila ya kikush kama Tusi na Iraqi wana mwonekano tofauti. Mwonekane pekee doesnt either confirm or deny citizenship. Citizenship in a civil thing.
 
Watanzania wengi don't reason beyond pua. Kuna mmoja nilimtengezea syllogism hadi akakumbuka.

Hoja yake ilikuwa eti Wahaya ni Waganda kisa tupo mpakani.

Nikamwambia tuassume kwamba kweli ni Waganda.

Tukiassume ni Waganda, mpaka utasogea kwa Wasubi.
Kwa kuwa Wasubi watakuwa mpakani nao watakuwa Waganda.
Mpaka utasogea hadi Usukumani. Nao watakuwa Waganda maana watakuwa mpakani.
Namna hiyo Tanzania nzima itakuwa Uganda.

Conclusion. Ukiona mtu ana argument ya hivyo ujue anakosa akili za kuzaliwa.

Halafu wahanga wa ubaguzi huo ni watu wa Ngara, karagwe, kasulu, kibondo, buhigwe, lakini mipaka ya namanga, tunduma, kasumulo, tangazo, matambaswala, watu wanatamba tena wanawekeza kabisa lakini mtu akiwa muha, muhangaza, msubi, cha moto atakiona, nadhani ifikie hatua mindset zibadilike naungana na One Africa Movement ya Julius Malema kwa sababu zamani zilikuepo koo na tawala za maeneo haikuepo mipaka, waafrika huteswa na mipaka ya wakoloni, lakini ukienda nchi nyingi za afrika mila, desturi na tamaduni zao zinafanana kabisa kwa asilimia kubwa
 
Wanaangalia physical features za kitusi ambazo zipo predominantly Rwanda. Utanzania ni civil concept. Sio tribal Au physical. Nevertheless ukiwa na hizo features ni rahisi kushukiwa maana Watanzania wengi ni Wanantu with a bia flat nose. Makabila ya kikush kama Tusi na Iraqi wana mwonekano tofauti. Mwonekane pekee doesnt either confirm or deny citizenship. Citizenship in a civil thing.
Sawa,wanaanza na hizo phisical features then you have to prove your citizenship later.
Sometime it works.
Hata wazungu wa spain ni tofauti na wa ujerumani
 
Mtafute mrundi au mnyarwanda mweleze atamke Nne atasema yine, hapo bado waha na wahangaza wa vijijini nao kutamka nne ni mtihani wanatamka nne au neno mtu waha na wahangaza, warundi na wanyarwanda wanatamka Mutu yaani mambo ni vuruvuru
 
Back
Top Bottom