Mohamed Said JF-Expert Member Nov 2, 2008 21,909 31,978 Dec 26, 2024 #1 View: https://youtu.be/ZY0ozVzGzXo?si=7u9N3U8Ky8qlgefs
kimbendengu JF-Expert Member Jun 7, 2013 6,693 12,026 Dec 26, 2024 #2 Mzee said hivi hakuna mwanahistoria mwenye jina la edson, Emmanuel
J JokaKuu Platinum Member Jul 31, 2006 33,757 62,114 Dec 26, 2024 #3 Mohamed Said, ..kabla ya Sheikh Hassan Bin Ameir Mufti wa Tanganyika alikuwa nani?
Mohamed Said JF-Expert Member Nov 2, 2008 21,909 31,978 Dec 26, 2024 Thread starter #4 JokaKuu said: Mohamed Said, ..kabla ya Sheikh Hassan Bin Ameir Mufti wa Tanganyika alikuwa nani? Click to expand... JK, Sina taarifa kama palikuwa na Mufti. Kote nilipopita katika historia ya Waislam na Uislam Tanganyika nimekutana na masheikh na maliwali.
JokaKuu said: Mohamed Said, ..kabla ya Sheikh Hassan Bin Ameir Mufti wa Tanganyika alikuwa nani? Click to expand... JK, Sina taarifa kama palikuwa na Mufti. Kote nilipopita katika historia ya Waislam na Uislam Tanganyika nimekutana na masheikh na maliwali.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 132,467 157,811 Dec 27, 2024 #5 Ahsante kwa historia... Cc: Mahondaw