Historia ya Mwl. Julius Nyerere kwa undani

Umesoma iyo thread yote, unataka kupingana na historia...
Umeona wazungu walitaka Tanganyika ipate uhuru mwaka gani?
Kwahiyo nyerere alikuwa anaenda UN, US congress miaka hiyo kunywa chai ama?
 
Umesoma iyo thread yote, unataka kupingana na historia...
Umeona wazungu walitaka Tanganyika ipate uhuru mwaka gani?
Kwahiyo nyerere alikuwa anaenda UN, US congress miaka hiyo kunywa chai ama?
Ni sawa, lakini siyo ushawishi wake ulioleta uhuru. Ni muda ulifika. Na wakoloni wakaona hata wa kumpa uongozi kumbe yupo, wakaachia koloni. Wangekuwa hawataki kuachia, hata huyo Nyerere tungekuja kumsoma vitabuni kama akina Chifu Songea na wenzake walivyonyongwa.
Nyerere alikwenda UN kwa facilitation kamili ya wakoloni, walimpa visa na alipanda ndege zao.
 

Mkuu usijichoshe sana, hivyo ni vichwa vigumu
 
Mkuu Shemeji Yeho, YEHODAYA, thanks for this. Hii ndio naiona leo, wana jf wa kusoma hii kitu yote, tuliobakia humu ni wachache mimi nikiwa miongoni mwao.

Leo tarehe 14 October ni siku ya Nyerere Day, tumuenzi kwa kujikumbushe tuliwahi kusema nini, kumhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…