THAN0S
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 756
- 727
Umesoma iyo thread yote, unataka kupingana na historia...
Umeona wazungu walitaka Tanganyika ipate uhuru mwaka gani?
Kwahiyo nyerere alikuwa anaenda UN, US congress miaka hiyo kunywa chai ama?
Umeona wazungu walitaka Tanganyika ipate uhuru mwaka gani?
Kwahiyo nyerere alikuwa anaenda UN, US congress miaka hiyo kunywa chai ama?
Hakuna mapambano yoyote yaliyokuwepo. Unaweza kunitajia pande zilizokuwa zinapambana na ni nani walikuwa wapiganaji kila upande? Unataka utundanganye kuwa Mwl Nyerere na wazee wa Kariakoo walisimama upande mmoja dhidi ya Dola la Malkia wa Uingereza halafu eti akashinda kwenye 'mapambano'?
Muda wao wa kuachia koloni ulifika wakaachia. Wangekuwa wanaitaka hii nchi wangekuwepo hadi leo kama makaburu wa Afrika Kusini.