Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,075
Kohozi likamuumba mtu
Mate yaka muumba mtu
Machozi yakaumba watu
Asante Atum
Mate yaka muumba mtu
Machozi yakaumba watu
Asante Atum
Atum Ni mwanamiujiza mkubwa zaidi kuwahi kuwako katika historia za mababu weusi wa misri, Enzi hizo kabla hata Musa hajazaliwa.Kohozi likamuumba mtu
Mate yaka muumba mtu
Machozi yakaumba watu
Asante Atum
Hahaaa Yeah waafrica tuligawanyika ila mwanzo tulikuwa pamoja,nimeshtuka sana nilpoona "TEMU" du kumbe wachaga walikuwepo kila mahali
Kama neno linaweza kuumba mtu...ushamgaa ni kwa kohozi na mate kuumba mkuu..mmmmh..?[/QUOTE]Kama neno linaweza kuumba mtu...ushamgaa ni kwa kohozi na mate kuumba mkuu..mmmmh..?
a muumba mtu
Machozi yakaumba watu
Asante Atum
Ngoja nikamfatilie huko Google nadhani huyu mwana miujiza atakuwepo hukoAtum Ni mwanamiujiza mkubwa zaidi kuwahi kuwako katika historia za mababu weusi wa misri, Enzi hizo kabla hata Musa hajazaliwa.
Osiri....ASANTE SANA
Kabla ya kwenda mbele zaidi..napenda jua hizi habari/simulizi zilitangulia kuwepo kabla ya kuandikwa biblia na quaran ama zimekuja baada ya biblia/quaran.
Maake nachoona ni upande mmoja umecopy na kuedit then paste....hebu nijuze kipi kilianza wakuu.
Yah huwezi kumkosa ila Dunia inaficha uwezo wa huyu jamaa huyu ndo kila kitu!Ngoja nikamfatilie huko Google nadhani huyu mwana miujiza atakuwepo huko
Mzee imani na Dini zote zimeanzia hapa ndipo imani zote zikaja.Hizi zilikuwepo miaka milioni na ushee kabla ya kristo na biblia, ndio ushangae sasa tunavopigwa kamba na hizi dini
Yah huwezi kumkosa ila Dunia inaficha uwezo wa huyu jamaa huyu ndo kila kitu!
Hahaaha story zake zipo tofauti, kuna baadhi ambao hudai kuwa alifanya hivyo na wengine hudai vile, Ukienda Misri pale Giza, kwenye kila kitu wanamakumbusho pale hudai nilichokidai, ila ukiingia online huku ndio patashika wazungu wanacreate mawazo yao kutupatia! LolNimemkuta mkuu kumbe alikuwa na wazazi (Nu & Nuanet) .... Hahaha kilichonifurahisha nikuelezea jinsi alivyo wa-spitt Shu & Tufnet 'the myth uses the metaphor of masturbation, with the hand he used in this act representing the female principle inherent within him. Other interpretations state that he has made union with his shadowteeehe teeehe kwa mtindo huu kajishushia vyeo kabisa
Ingia online seach Ancient Egypt gods utajifunza mengi.hichi kitabu kinaitwaje?very interesting
Mkuu kama siyo wazazi wa Atum kwanini Nu aliitwa ' "the Father of the Gods'?Nu na mkewe nauhet ni wazazi wa "Ra" Sungod na si Atum! Kuna Muda Atum aliungana na RA kwa ajili ya kuufanya mchana, hivyo aliitwa Atum-Ra (mchanganyiko wa atum na Ra)
Vizuri kuhusu Father of Gods hiko Cheo wanawepa wanne, yaani Atum as a creator, Amen (invinsible God) Ra (Sun God) and Nun.Mkuu kama siyo wazazi wa Atum kwanini Nu aliitwa ' "the Father of the Gods'?
kwenye bandiko pale kuna mahala alilituma jicho lake kutafuta wanae, huko google hilo jicho ndiyo wanaliita 'eye of RA' (as a messenger) kwa hiyo haya ndiyo yalikua matumizi ya RA?...
Ngoja niendelee kuwafatilia kwa umakini