Hili ndiyo gari linalotakiwa kuruhusiwa kuendeshwa Tanzania na Wanaume!

97d5e5bbf5dff6647e36b6a7ce784606.jpg

ffb4a02bdda3920564157f3bfdb5c554.jpg
 
Hujatoa taarifa (Specifications) zake. Mtu anaponunua gari anaangalia vitu vingi lakini UJAZO WA ENGINE (Cubic Centimetres) na Nguvu ya Engine (Torque, Horse Power, Watt consumption) ni vitu muhimu ambavyo vinamfanya mtu ashawishike kununua au kutonunua gari hiyo. Kwa mfano, kama ujazo wa engine ni 2,000 Cubic Centimetres, na ikawa inatumia engine ya VVVTi (Variable Valve Timing injection) atajua kwamba engine haitumii mafuta mengi na ina nguvu ya kutosha. Baadae ataangalia MUUNDO WAKE na kama anaridhika ananunua.

Unatuletea gari yenye MUUNDO MZURI lakini hatujui kilichomo "under the hood". Hata aina ya gari husemi.

Bora nichukue scraper mahali nitinge nalo gereji nitatengeneza design yangu BOMBA ZAIDI kwa kuwa mafundi wetu wa Bongo wapo na ni wazuri zaidi.

Msitufanye wajinga! Sio kila kitu kitokacho kwa MTU MWEUPE ni kizuri. Walituletea Virusi vya Ukimwi (VVU), je, hivyo navyo ni vizuri!

[HASHTAG]#AchaUshamba[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FungukaKijana[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom