Nadhani wabunge wote sio CDM tu....hili lingekuwa namanufa kwa taifa zima sio mikoa au kanda tu! nadhani Uwezo thread yako ina kasoro kubwa sana. Hija kaa kitaifa zaidi...
Nadhani wabunge wote sio CDM tu....hili lingekuwa namanufa kwa taifa zima sio mikoa au kanda tu! nadhani Uwezo thread yako ina kasoro kubwa sana. Hija kaa kitaifa zaidi...
Wanasiasa wa Tanzania hawaaminiki, wakichanga pesa binafsi kwenye maendeleo mfano PUMP za maji endapo watakosa Ubunge uchaguzi ujao wataviacha hivyo vitu? - Masha's case and other CCM MPs who were not re-elected. Hili linawezekana endapo kwa kila mradi watakaogharamia na pesa binafsi pawepo na mkataba (Grant Agreement) na mamlaka husika mfano Kijiji au Halmashauri