Hii sio kanda maalum, ni Ethiopia! Mwanamke kuomba kupigwa viboko kuonyesha upendo kwa mume

Nope! Hii ni mentally and physically abused, masikini wanawake hao! Ehh Mola tusaidie!
hahaha
ISIS kila kitu uki kiangalia kwa mtizamo usio wako kinakuwa absurd, mi mwenyewe naona ni watu wa ajab, ila sidhani kama hawana akili
 
Uuwii. Hadi mwili umesisimka. Mambo gani sasa haya.

Mila zimewafanya wawe wadhaifu na kushindwa kujua wanachofanyiwa sio sawa. Daah
 
Africa tuna matatizo mengi na tiba yake labda ianzie kichwani. nimeshindwa kuangalia mara mbili hizo picha...
....Kila bara lina aina yake ya matatizo, just imagine Ulaya dume zimaa linaolewa na dume mwenzake si hatari hiyo?
 
Inasikitisha sana...

Hapo kiumbe chochote kutoka kwenye chama cha haki za wanawake au haki za binadamu kitakachojilengesha kuja kutetea na seminar zake.. Kitachezea mikwaju, na ndiyo itakuwa mwanzo na mwisho kuingilia mapenzi ya watu...


Cc: mahondaw
 
Mmhh fimbo zinavouma alafu upigwe kwenye nyama kabisa ivyo hadi kutoka malenge lenge mmmhhh kuna wanawake sio waoga kwa kweli huo sio upendo ni ujinga
....Lakini watoto wa wenzenu, hasa mashuleni, mnawacharaza bakora mkuu...
 
Back
Top Bottom