Hii sio kanda maalum, ni Ethiopia! Mwanamke kuomba kupigwa viboko kuonyesha upendo kwa mume

....Lakini watoto wa wenzenu, hasa mashuleni, mnawacharaza bakora mkuu...
Ni kweli wanacharazwa kama wamekosea lakini Mimi nna roho nyepesi kiasi kwamba siwezi kukaa karibu ya mtoto anae chapwa vile anavolia kwa maumivu Mimi cwezi kuvumilia bora nitoke nje tuu au nikae mbali
 
upload_2017-7-28_5-8-51.jpeg
Hii sio kanda maalumu, ni Ethiopia pekee Mwanamke huomba kuchapwa viboko kuonesha upendo wa dhati kwa mume wake.
upload_2017-7-28_5-9-9.jpeg


Hawa ni waethiopia wa kabila la Hamar,na hii ya kuchapwa viboko tena hadhrani inaitwa [HASHTAG]#UKULIBULA[/HASHTAG].


Huko kwenu mwanamke anaoneshaje upendo kwa mume wake?
 

Attachments

  • upload_2017-7-28_5-9-23.jpeg
    upload_2017-7-28_5-9-23.jpeg
    101.5 KB · Views: 33
huku kwetu upendo ni mkeo kukubeba mpaka bafuni, na huko kuna kigoda name kukuogesha akiwa anakusimamia!
 
Amavubi, wewe umeoa? Kama umeoa, mkeo unamuona na kumchukuliaje?
Unavijua sawasaw vigezo vya upendo? Je, wewe unamoenda na kumwonyesha upendo?
 
# Fahamu kabila la HAMAR , kutoka Ethiopia... Hii sio kanda maalum,ni Ethiopia pekee Mwanamke kuomba kuchapwa viboko kikatili kuonesha Upendo kwa mume wake.. ......[HASHTAG]#hawa[/HASHTAG] ni waethiopia wa kabila la Hamar,na hii ya kuchapwa kikatili inaitwa [HASHTAG]#UKULI[/HASHTAG] BULA..!! ...[HASHTAG]#Ivi[/HASHTAG] huku kwetu mwanamke anaoneshaje upendo kwa mume wake..nikumbusheni.. [HASHTAG]#from[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom