Hii ndio aina ya mwanamke ninayempenda, wewe je!

Napenda mwanamke ajue kuwa yeye ni mwanamke.
Napenda mwanamke asivae wigi
Napenda mwanamke asijipake Ile mirangi rangi, asipake wanja
Napenda mwanamke asijichubue, aridhike jinsi alivyo
Napenda mwanamke akate nywele, (hasisuke)

Napenda mwanamke mtafutaji, ajiamini kuwa anaweza kufanya jambo bila Mwanaume
Napenda mwanamke ambaye siyo mwoga wa kuthubutu na anaweza kusimama mwenyewe

Napenda mwanamke ambaye hana makundi ya marafiki
Napenda mwanamke ambaye hana kucha ndefu, habandiki kope, havai dela bila chupi

Napenda mwanamke ambaye anaridhika, anajituma ili kutimiza malengo aliyokuwa nayo
Napenda mwanamke mcha Mungu na awe na hofu na Mungu, mwenye upendo wa dhati, asiyependa starehe kama kwenda club, kunywa bia n.K

Wewe unapenda mwanamke au mumeo wa aje inawezekana uliye naye siyo wako ni wangu
KAMA UNAE MPENDA WEWE
 
Hayo ni mawazo ya broke man... ila siku ukipata hela vigezo vya mtu unaemtaka vitabadilika...........
Pole sana tafuta hela kijana!!!!
 
Weee! Hiyo ni moja ya kitu sintakuja kufanya maishani. Tena kama nimekosa lotions za Nivea au Vaseline (ndo nnazo ziamini kutoniharibu ngozi) ni bora nitumie mafuta yao ya mgando au kupaka Olive oil. Yaani naupenda weusi wangu mpaka najitongozaga mwenyewe sometimes.
Unajitongoza mwenyew hahahaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom