Hii ndio aina ya mwanamke ninayempenda, wewe je!

Mi mwanaume wa aina yako hata kwa dawa simtaki yani mkeo unataka kumshikia akili ili iweje? Kwanza mwanaume unafatilia Mara wigi sijui kujipaka mafuta ya wanawake ili iweje. Wanaume aina yako huwa wana matatizo makubwa kichwani
 
Hapana sina matatizo Mbona kichwani Diva wewe ndio unanifaa

O level nilipata
Physics B
Chemistry C
Mathematics B
Biology B
Masomo ya sanaa yote nilifaulu sasa matatizo ya kichwa yanatokea wapi Diva
 
Hapana sina matatizo Mbona kichwani Diva wewe ndio unanifaa

O level nilipata
Physics B
Chemistry C
Mathematics B
Biology B
Masomo ya sanaa yote nilifaulu sasa matatizo ya kichwa yanatokea wapi Diva
Matatizo yako ni kutaka kumshikia mtu mzima akili yake yani umpangie wewe ukiwa ka nani unaweza kupata A zote lakini usielimike na kujua mipaka yako kwa mtu mwingine, yeye sio mbuzi umpelekeshe.
 
Matatizo yako ni kutaka kumshikia mtu mzima akili yake yani umpangie wewe ukiwa ka nani unaweza kupata A zote lakini usielimike na kujua mipaka yako kwa mtu mwingine, yeye sio mbuzi umpelekeshe.
Yaani hapo simlazimishi awe ivyo me namataka mwenye hizo sifa nilizozitaja kama unazo niambie
 
napenda mwanamke anayenipa stress... yaan ananisaidia sana kupunguza kitambi... yaan ukisikia leo kachepuka kesho unasikia kala hela ya vikoba... kitambi changu chote kitaisha!
 
Napenda mwanamke ajue kuwa yeye ni mwanamke.
Napenda mwanamke asivae wigi
Napenda mwanamke asijipake Ile mirangi rangi, asipake wanja
Napenda mwanamke asijichubue, aridhike jinsi alivyo
Napenda mwanamke akate nywele, (hasisuke)

Napenda mwanamke mtafutaji, ajiamini kuwa anaweza kufanya jambo bila Mwanaume
Napenda mwanamke ambaye siyo mwoga wa kuthubutu na anaweza kusimama mwenyewe

Napenda mwanamke ambaye hana makundi ya marafiki
Napenda mwanamke ambaye hana kucha ndefu, habandiki kope, havai dela bila chupi

Napenda mwanamke ambaye anaridhika, anajituma ili kutimiza malengo aliyokuwa nayo
Napenda mwanamke mcha Mungu na awe na hofu na Mungu, mwenye upendo wa dhati, asiyependa starehe kama kwenda club, kunywa bia n.K

Wewe unapenda mwanamke au mumeo wa aje inawezekana uliye naye siyo wako ni wangu
Ukimpata wa hivi, naomba unionyeshe na mimi nikachukue wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom