Hii Konyagi Kubwa Mpya mnaionaje wadau?

Hana mpango na mpira yeye kaambiwa vyeti havijatimia badala ya kwenda kuhakiki yuko bar
 
Hilo dude ni fake tu wala halina mambo kama zile za zamani ambazo hazina filter, hili likonyagi ni kama kubwa jinga uki test flavo yake kama imetiwa maji ki aina, mimi naligonga dry bila chochote nawala sipotezi network hata kidogo
 
Konyagi kadiri inavyokuwa kubwa ndio na ukali unapungua, kiroba ni kikali kuliko konyagi ndogo ya chupa! Konyagi ndogo ya chupa ni kali kuliko Ya chupa ya 500mls! ya 500mls ni kali kuliko ya 750mls!
Sijaielewaga sayansi iliyopo hapo! najinyweyaga tu huku nawaza majibu ya huu mpishano wa ukali!!
 
mkuu hata kadogo kenye filter na kanyewe kame chakachuliwa, juzi kwenye kale kamvua nilivigonga viwili na bia zangu kadhaa nawala siku loose control.
Viroba vilikua poa saana unatupia bia 3 wakati wa kulala unakatia na viroba viwil basi unajikataa ukiwa swaaafi kabisa
 
Yaaaaah ni kweli. Kenye filter kamefungwa gavana!! Nakatupiaga kale na Balimi za kutosha tu!! Juzi nilikafuma chaka kale ka zamani, weh!! Kidogo kanitoe roho!!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom