Hii Konyagi Kubwa Mpya mnaionaje wadau?

Hizo wamezipunguzia ukali hamna kitu ni bora ukapiga lile la zamani lakini mm hiyo hunishawishi
 
Konyagi kadiri inavyokuwa kubwa ndio na ukali unapungua, kiroba ni kikali kuliko konyagi ndogo ya chupa! Konyagi ndogo ya chupa ni kali kuliko Ya chupa ya 500mls! ya 500mls ni kali kuliko ya 750mls!
Sijaielewaga sayansi iliyopo hapo! najinyweyaga tu huku nawaza majibu ya huu mpishano wa ukali!!
Mkuu,hili usemalo ni kweli,hata mimi nimeshaliona na kulifanyia utafiti.
Viroba vya 200Ml nilikuwa nanywa 4 mpaka 6 kwa saa 2 na kuwa tipsy au nikizidisha mpaka 8 nakuwa wasted,but bapa nilikuwa namaliza 2 mpaka 3 ndio nakuwa tipsy na 5 - 6 kuwa wasted.
Halafu taste yake pia ipo tofauti kati ya kiroba,kisichana na jizee la upako.
 
Kiroba>Konyagi ndogo>jizee la upako

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ila viroba tulikuwa tunakunywa vingine feki (Made in Mwanjelwa). Unakuta unameza funda la kiroba mpaka machozi yanataka kutoka!! Lakini unakomaa nacho tu hukimwagi!!!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Hili bapa kubwa hakuna kitu ni sawa na joka la kibisa. Mtu unakunywa chupa zina hata huropoki maneno tuwili vya English?
H
 
Kuna mdau alisema imewekwa radha ya chungwa lakini mbona mimi siisikiiii kabisaaaa......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom