Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 5,658
- 16,137
Kwamfano! Hupo hapo hohehahe! Umepigika unahustle utoboe kwambinde lakini unaangukia pua! Mara gafla Mungu anaingilia kati kulipwa mojawapo ya haki yako iliyokuwa imezuiliwa kwa miaka mingi! Mungu anakusemesha kuhusu baadhi ya sadaka kama sadaka ya limbuko, zaka, zabiu, mbegu, n.k!
Kuanzia hapo moyo unakuwa mgumu kutoa hata mojawapo ya hizo sadaka! Sasa nakuuliza! Je! Mungu akusaidie hupate hiyo stahiki yako kwa sharti ya kumtolea sadaka either kwa mtu fulani, huduma yake (vyovyote atakavyokuelekeza) au asikusaidie uendelee kupigika?
Mungu anakufahamu ya kwamba ukilipwa hiyo hela bila msaada wake hiyo hela itakumaliza hata kukusababishia mauti (kwa upande mmoja), lakini kwa upande wa pili hiyo hela mara tu ukilipwa kwasababu umekataa kumkaribisha Mungu kwa njia ya sadaka, itaangukia katika ufalme wa shetani na kumpa nguvu kupambana na watu wa Mungu!
Hivyo! Nakupa ushauri ya kwamba Mungu akikusaidia ukalipwa hiyo hela utampa kiasi gani na utoe nadhiri kabla ya kulipwa vinginevyo hiyo hela haitoki kwasababu katika mlango wa hiyo hela yamekaa mashetani yanaitamani kwasababu ufalme wa shetani unahitaji nao hela kuujenga!